-
Uhispania: Ilikuwa ni 'makosa' Kamishna wa EU kuhudhuria mkutano wa 'Bodi ya Amani' ya Trump
Feb 21, 2026 07:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Uhispania Jose Manuel Albares amesema, ilikuwa ni "makosa" kwa Kamishna wa Umoja wa Ulaya kuhudhuria mkutano wa uzinduzi wa 'Bodi ya Amani' ya Rais wa Marekani Donald Trump mjini Washington.
-
Wabunge wa Marekani wanataka kupiga kura kuzuia mamlaka ya Trump ya kushambulia Iran
Feb 21, 2026 04:05Wabunge wa Marekani huenda wakapiga kura mapema wiki ijayo juu ya muswada unaolenga kumzuia Rais Donald Trump kuanzisha mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran bila idhini ya wazi ya Bunge la Marekani.
-
Mwandishi wa NY Times: Netanyahu anamtumia vibaya Trump kwa ajili ya vita na Iran
Feb 20, 2026 23:35Mwandishi maarufu wa gazeti la Marekani la New York Times, Thomas Friedman, ameonya kwamba waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anamhadaa Rais wa Marekani, Donald Trump, na makundi ya jamii ya Wayahudi wa Marekani ili kuendeleza malengo yake ya kisiasa yenye utata, ikiwa ni pamoja na kuongezeka mvutano na Iran.
-
Kupinga Wabunge wa Marekani sera za Trump za kupiga ngoma ya vita dhidi ya Iran
Feb 20, 2026 22:49Wimbi la upinzani limeibuka miongoni mwa Wabunge wa Marekani dhidi ya sera za Rais Donald Trump zinazochochea vita dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa zamani wa Korea Kusini afungwa maisha jela
Feb 19, 2026 23:56Mahakama ya Korea Kusini jana Alkhamisi ilimhukumu rais wa zamani wa nchi hiyo, Yoon Suk Yeol kifungo cha maisha jela kwa kutangaza sheria ya kijeshi mnamo Desemba 2024, na kumtia hatiani mwanasiasa huyo mwenye umri wa miaka 65 kwa kuongoza uasi na kuhujumu katiba.
-
Waholanzi 640 waliohudumu katika jeshi la Israel Gaza kushtakiwa?
Feb 19, 2026 23:56Zaidi ya raia 640 wa Uholanzi wamehudumu katika jeshi la Israel wakati wa vita vya mauaji ya halaiki vya utawala huo wa Kizayuni dhidi ya Gaza na kwneye mashambulizi dhidi ya Ukingo wa Magharibi, takwimu mpya zinaonyesha, huku wataalamu wa sheria wakionya kwamba, wale waliohusika wanaweza kushtakiwa chini ya sheria za kimataifa na za nchi hiyo za uhalifu wa kivita.
-
Kinachovifanya vyama vya Kiislamu vya Pakistan vipinge nchi hiyo kuwemo kwenye 'Bodi ya Amani' ya Trump
Feb 19, 2026 23:55Shinikizo la kisiasa la vyama vikuu vyenye mielekeo ya Kiislamu nchini Pakistan kwa serikali ya nchi hiyo la kuitaka ijiondoe katika kile kiitwacho 'Bodi ya Amani' ya Trump limeongezeka.
-
Uzandiki na undumakuwili wa wazi wa Marekani katika sera yake ya kurutubisha urani
Feb 19, 2026 07:16Waziri wa Nishati wa Marekani amesema, nchi hiyo itaanza tena kurutubisha madini ya urani
-
Vatican, Mexico nazo pia zaukataa uanachama katika 'Bodi ya Amani' ya Trump
Feb 18, 2026 07:00Vatican haitashiriki katika mpango wa Rais wa Marekani Donald Trump wa iitwayo "Bodi ya Amani". Hayo yameelezwa na afisa mkuu wa kidiplomasia wa Vatican Kardinali Pietro Parolin, huku akisisitiza kwamba juhudi za kushughulikia hali za mgogoro inapasa zisimamiwe na Umoja wa Mataifa.
-
Waziri Mkuu wa Slovakia: EU iko katika hali mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia yake
Feb 18, 2026 06:56Waziri Mkuu wa Slovakia Robert Fico ameonya kwamba Umoja wa Ulaya (EU) sasa hivi unakabiliwa na hali mbaya zaidi kuwahi kushuhudiwa katika historia yake, huku matatizo ya kiuchumi yakizidishwa na kukosekana uongozi na maono ya muda mrefu huko Brussels.