-
Umoja wa Mataifa: Hatua ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa
Jan 07, 2026 06:18Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa operesheni ya kijeshi ya Marekani nchini Venezuela ni ukiukaji wa sheria za kimataifa.
-
UN: Marekani kumteka nyara Maduro kunayumbisha usalama wa dunia
Jan 07, 2026 04:21Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imeitolea wito jamii ya kimataifa kuwaslisha ujumbe wa wazi kwamba mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa hivi karibuni na Marekani dhidi ya Venezuela, ikiwemo kutekwa nyara Rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro, kumeifanya dunia kuwa na usalama mdogo.
-
Je, Greenland ni Venezuela inayofuata?
Jan 06, 2026 23:28Waziri Mkuu wa Denmark amepinga madai mapya ya Donald Trump kuhusu kuimiliki eneo la Greenland na kuitaka Washington ikome kutoa vutisho dhidi ya mshirika wake huyo wa kihistoria.
-
Marekani ilidhani Maduro wa Venezuela ni Noriega, ikapata Mandela
Jan 06, 2026 23:26Ubalozi wa Jamhuri ya Bolivaria ya Venezuela ulioko Tehran, mji mkuu wa Iran, umefananishia Rais Nicolas Maduro , aliyetekwa hivi karibuni , na kiongozi wa kupinga ubaguzi wa rangi wa Afrika Kusini, shujaa Nelson Mandela, ukisisitiza kuwa Marekani imekosea kutathmini uongozi wa Venezuela na wananchi wake.
-
Venezuela yaunda kamati maalumu ya kumkomboa Rais Maduro
Jan 06, 2026 08:40Waziri mmoja wa Venezuela ametoa taarifa ya kuundwa tume maalumu katika bunge la nchi hiyo ya kumkomboa Rais Nicolas Maduro kutoka kwenye makucha ya kibeberu ya Trump na wenzake.
-
Ubalozi wa Palestina wafunguliwa rasmi jijini London
Jan 06, 2026 03:38Ubalozi wa Palestina umefunguliwa rasmi jijini London, takriban miezi minne baada ya Uingereza kutangaza kuitambua Nchi ya Palestina.
-
Baraza la Usalama lalaani hatua ya US kumteka nyara Maduro
Jan 06, 2026 02:47Wawakilishi wa nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wakiwemo waitifaki wa Marekani, wamelaani kitendo cha Washington cha kumteka nyara Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro.
-
Maduro aiambia mahakama US: Ningali Rais halali wa Venezuela
Jan 06, 2026 02:40Rais wa Venezuela aliyetekwa nyara na Marekani, Nicolas Maduro ameiambia mahakama jijini New York kwamba "hana hatia", "ni mtu mstaarabu", na kwamba alikuwa "ametekwa nyara", katika matamshi yake ya kwanza hadharani tangu kujiri shambulio la kuogofya la Marekani dhidi ya nchi yake Jumamosi.
-
Mijibizo ya kimataifa kwa mgogoro wa Venezuela; msisitizo juu ya diplomasia, kuachiliwa Maduro, na kuhuishwa demokrasia
Jan 05, 2026 23:51Kufuatia shambulio la kijeshi la Marekani dhidi ya Venezuela na kukamatwa kwa rais wa nchi hiyo, viongozi mbalimbali wa dunia na serikali walionyesha wasiwasi kuhusu matokeo ya hatua hii na kutoa wito wa suluhu ya kidiplomasia ya mgogoro huo, kuheshimiwa kwa sheria za kimataifa, na kurejea kwenye michakato ya kidemokrasia.
-
Cuba yatangaza vifo vya raia wake 32 katika shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela.
Jan 05, 2026 04:57Serikali ya Cuba imetangaza kwamba raia wake 32 waliuawa wakati wa shambulio la Marekani dhidi ya Venezuela siku ya Jumamosi, ambapo askari wa kikosi maalumu wa Marekani walimteka nyara Rais Nicolas Maduro na mkewe na kuwapeleka New York.