-
Iran yalaani jaribio la kuiondoa timu yake ya soka katika fainali za Kombe la Dunia
Oct 21, 2022 11:33Shirikisho la Soka la Iran limekosoa vikali jaribio la kuiengua timu ya taifa ya kandanda ya Jamhuri ya Kiislamu katika michuano ya Kombe la Dunia itakayoanza kutimua mavumbi mwezi ujao wa Novemba nchini Qatar.
-
Qatar yakataa ombi la kuanzishwa ubalozi wa Israel mjini Doha kwa ajili ya Kombe la Dunia
Sep 13, 2022 10:28Serikali ya Qatar imetangaza kukataa ombi la utawala haramu wa Israel la kuanzishwa ubalozi mdogo wa muda wa Israel mjini Doha katika kipindi cha kufanyika fainali za soka za Kombe la Dunia.
-
Timu zote 5 za Afrika mara hii zinaongozwa na makocha wazawa katika kombe la dunia Qatar
Sep 06, 2022 07:02Kombe la Dunia la Qatar 2022 litakuwa la kihistoria kwa mchezo wa soka barani Afrika, kwa sababu nchi zote tano za bara hilo zinazoshiriki katika michuano ya kuwania kombe hilo ambazo ni Morocco, Senegal, Cameroon, Tunisia na Ghana zitaongozwa na makocha Waafrika.
-
Iran yatafakari kuwapokea wageni wa Kombe la Dunia la Qatar
Apr 10, 2022 07:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imewasilisha pendekezo la kuwaruhusu raia wa kigeni watakaofika Qatar kama watazamaji wa Kombe la Dunia la FIFA 2022 kuingia Iran bila kulipia visa.
-
Rais Raisi aitumia salamu timu ya taifa ya soka ya Iran katika mechi muhimu ya kombe la dunia
Jan 27, 2022 02:48Rais Ebrahim Raisi ametuma salamu maalumu kwa timu ya taifa ya soka ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iliyoko kambini kujiandaa na mechi muhimu na Iraq ya kuwania tiketi ya kucheza mashindano ya soka ya kombe la dunia ya mwaka huu wa 2022 nchinii Qatar.
-
Algeria yawatunuku watu wa Palestina Kombe la Mataifa ya Waarabu
Dec 19, 2021 08:17Timu ya Taifa ya kandanda ya Algeria imefanikiwa kushinda mashindano ya kwanza ya Kombe la Mataifa ya Waarabu yaliyofanyika nchini Qatar na kuwatunuku Wapalestina kombe hilo.
-
Russia yafungiwa kushiriki michezo ikiwemo Olimpiki 2020 na kombe la dunia 2022
Dec 10, 2019 02:54Wakala wa Kimataifa wa Kupambana na Dawa za Kusisimua Misuli (WADA) limeifungia Russia kwa miaka minne kutoshiriki michuano mikubwa duniani ikiwemo michezo ya Olimpiki ya mwaka ujao wa 2020 itakayofanyika Tokyo Japan na Kombe la Soka la Duniani litakalofanyika nchini Qatar mwaka 2022.
-
FIFA yamteua mwanamke wa Kiislamu kuwa Katibu Mkuu
May 14, 2016 06:00Kwa mara ya kwanza katika historia ya kandanda duniani, Shirikisho la Soka Duniani FIFA limemteua mwanamke wa Kiafrika na Muislamu kuwa Katibu Mkuu wa taasisi hiyo ya kimataifa ya kusimamia mpira wa miguu.