Makala Mchanganyiko
-
Mgogoro wa Afya ya Akili na Kujiua katika Jamii ya Marekani (Siku ya Kuzuia Kujiua Duniani)
Sep 28, 2023 11:36Jumapili ya tarehe 10 Septemba ilisadifiana na Siku ya Kimataifa ya Kuzuia Kujiua. Siku hiyo ilisajiliwa katika kalenda ya dunia mwaka wa 2003 na Chama cha Kimataifa cha Kuzuia Kujitoa Uhai kwa ushirikiano wa Shirika la Afya Duniani (WHO).
-
Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hassan Askary (as)
Sep 26, 2023 12:29Assalaamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kkwa mnasaba wa kukumbukak siku aliyouawa shahidi Imam Hassan Askary (as) mmoja wa Maimamu watoharifu kutoka katika kizazi cha Bwana Mtume (saw).
-
Filamu "Barbie" na marufuku yake katika nchi za Kiislamu
Sep 20, 2023 05:48Barbie ndie mwanasesere anayeuzwa sana ambaye alianza kutengenezwa nchini Marekani zaidi ya miaka 60 iliyopita, na umaarufu wake miongoni mwa wasichana wadogo ulimwenguni kote umekuwa sababu ya kutengenezwa filamu nyingi zinazohusiana na mwanasesere huyo.
-
Kwa Mnasaba wa Kuuawa Shahidi Imam Ali Ibn Musa Ridha (AS)
Sep 16, 2023 07:01Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar na katika siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam wa Nane wa Waislamu wa madhehebu ya Shia, mtukufu Ali Ibn Musa Ridha (as), haram ya Imam huyo mkarimu katika mji mtukufu wa Mashhad, imefurika umati wa wafanyaziara na wakazi wa jirani yake, waliosalia nyuma ya msafara wa ziara ya Karbala, ambao kwa kuikosa fursa hiyo adhimu, wamekimbilia kwenye haram ya Imam na maulana wao, Ali Ibn Musa Ridha (as).
-
"Barbie" na "Oppenheimer", mpambano kati ya bomu la atomiki na bomu la pinki
Sep 10, 2023 08:07Filamu mbili za "Barbie" na "Oppenheimer" zilizinduliwa rasmi siku moja ya tarehe 21 Julai 2023 katika kivuli cha manuva makubwa ya vyombo vya habari vya Marekani, kwenye kumbi za sinema duniani, na kuzusha mpambano mkali wa kuvunja kwa shoka.
-
Msikiti, Dhihirisho la Utambulisho wa Uislamu (Maalumu Siku ya Msikiti Duniani)
Aug 27, 2023 10:34Mwaka 2003, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ilipendekeza katika mkutano wa 30 wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi za Kiislamu mjini Tehran, kwamba kutokana na nafasi muhimu ya misikiti katika kuimarisha umoja na mshikamano wa Waislamu, iainishwe siku moja kuwa Siku ya Kimataifa ya Msikiti.
-
Usikichome, Leta Mfano Wake Kama Unaweza!
Aug 17, 2023 07:13Siku moja miaka mingi sana iliyopita, yaani miaka elfu mbili kabla ya kuzaliwa Nabii Isa Masih (as), watu wa Namrud (Nimrodi) walikuwa wamerejea makwao kutoka kwenye shughuli ya kidini.
-
Utawala na uongozi katika fikra za kisiasa za Imam Baqir
Jul 02, 2023 14:49Katika siku hizi ambapo mamilioni ya Waislamu wanaelekea katika ardhi tukufu za Makka na Madina kwa ajili ya ibada ya Hija, jina la Mtume wetu Muhammad (saw) na Ahlu Baiti zake watoharifu linatajwa na kuhuishwa zaidi kuliko wakati wowote mwingine.
-
Zama za Mitandao ya Kijamii, Faida na Madhara Yake
Jul 02, 2023 13:18Kupanuka na kuenea kwa mitandao ya kijamii kuna nafasi muhimu katika maisha ya kila siku ya wanadamu, hasa tabaka la vijana. Tarehe 30 mwezi wa Juni ni Siku ya Mitandao ya Kijamii Duniani; kwa msingi huo tunatumia fursa hii kuchunguza umuhimu na athari chanya na hasi za mitandao hiyo kwa jamii na maisha yetu.
-
Rekodi Mpya ya Wakimbizi Duniani
Jul 02, 2023 13:08Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu idadi kubwa na isiyo na kifani ya wakimbizi katika ripoti ambayo imepewa anwani "Mashtaka Dhidi ya Hali ya Sasa ya Dunia."