-
Jumanne 8 Oktoba, 2024
Oct 08, 2024 02:18Leo ni Jumanne tarehe 4 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria inayosadifiana na Oktoba 8 mwaka 2024
-
Yajue makombora ambayo Iran iliyatumia katika ‘Operesheni ya Ahadi ya Kweli II’ dhidi ya Israel
Oct 07, 2024 17:13Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii ambayo huangazia baadhi ya mafanikio katika uga wa sayansi, tiba na teknolojia nchini Iran na leo tutaangazia mafanikio ya Iran katika uga wa ulinzi.
-
Kujilinda na kujihami katika mtazamo wa Qur'ani
Sep 26, 2024 12:02Hamjambo na karibuni kuwa nami katika kipindi chetu cha leo cha Makala ya Wiki ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Wiki ya Kujihami Kutakatifu nchini Iran.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Sep 26, 2024 12:01Kipindi cha baina ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita kimetangazwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Wiki ya Umoja na Mshikamano baina ya Waislamu wote duniani, lengo likiwa ni kuwakusanya pamoja Waislamu wote wa madhehebu na mitazamo tofauti katika Tauhidi na umoja wa Kiislamu.
-
Ijumaa, tarehe 30 Agosti, 2024
Aug 30, 2024 02:26Leo ni Ijumaa tarehe 25 Safar, mwaka 1446 Hijria, sawa na tarehe 30 Agosti mwaka 2024.
-
Jamii iliyojawa na hofu ya Israeli; Mivutano ya ndani na vitisho kutoka nje
Aug 28, 2024 13:02Jamii ya utawala wa Kizayuni wa Israel iko katika hali mbaya zaidi siku hizi.
-
Jamii iliyojawa na hofu ya Israeli; Mivutano ya ndani na vitisho kutoka nje
Aug 28, 2024 11:44Jamii ya utawala wa Kizayuni wa Israel iko katika hali mbaya zaidi siku hizi.
-
Jumapili, 25 Agosti, 2024
Aug 25, 2024 02:41Leo ni Jumapili 20 Mfunguo Tano Safar 1446 Hijria ambayo inasadifiana na 25 Agosti 2024 Miladia.
-
Kuuawa Haniyeh; damu katika mishipa ya muqawama
Aug 08, 2024 12:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umeonyesha kilele cha kukataa tamaa na kukwama baada ya miezi kumi ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza kwa kumuuwa kigaidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Kuongezeka wimbi la watu wanaosilimu baada ya mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza
Aug 01, 2024 09:10Kasi ya watu wanaosilimu barani Ulaya imeongezeka kwa asilimia 400 tangu kuanza mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza mwezi Oktoba mwaka jana.