-
Kuuawa Haniyeh; damu katika mishipa ya muqawama
Aug 08, 2024 12:47Utawala wa Kizayuni wa Israel umeonyesha kilele cha kukataa tamaa na kukwama baada ya miezi kumi ya mauaji ya kimbari ya Wapalestina huko Gaza kwa kumuuwa kigaidi Ismail Haniyeh, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas).
-
Kuongezeka wimbi la watu wanaosilimu baada ya mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza
Aug 01, 2024 09:10Kasi ya watu wanaosilimu barani Ulaya imeongezeka kwa asilimia 400 tangu kuanza mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza mwezi Oktoba mwaka jana.
-
Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa- Sehemu ya 8
Jul 18, 2024 09:09Sehemu hii ya nane ya Podikasti ya Ujana Ulioharibiwa (Stolen Youth) inaangazia vitendo vya mabavu na ubaguzi wa jeshi la Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Maadili ya Hussein bin Ali (as)
Jul 16, 2024 16:54Tumo katika siku za mwezi wa Muharram ambao unakumbusha msiba adhimu na mkubwa kwa Umma wa Kiislamu.
-
Hamasa ya Imam Hussein (as)
Jul 16, 2024 16:50Nukuu za historia zinasema, Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib, mjukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW) aliingia Karbala siku ya Alhamisi tarehe Pili Muharram, 61 Hijiria.
-
Kuomba radhi kwa kuchelewa Kanisa Katoliki
Jul 06, 2024 13:04Makala yetu ya juma hili imeangazia kuomba radhi Kanisa Katoliki kutokana na jinai zilizofanywa dhidi ya wakazi asilia wa Marekani.
-
Simulizi za wasanii kuhusu matumizi ya silaha za kemikali katika vita vya Iraq na Iran
Jun 29, 2024 07:23Makala yetu ya wiki inahusu simulizi za wasanii kuhusu matumizi ya silaha za kemikali katika vita vya Iraq na Iran. Kipindi hiki tumewaandalia kwa mnasaba wa kuwadia tarehe 8 mwezi Tir kwa kalenda ya mwaka wa Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe 28 Juni ambayo inaadhimishwa hapa nchini kama Siku ya Kupambana na Silaha za Kemikali na Vijidudu.
-
Ujumbe wa Hija wa Kiongozi Muadhamu 1445 Hijria
Jun 15, 2024 11:18Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei, ametoa ujumbe kwa mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wanaotekeleza ibada ya Hija ambapo ameutaja " Wito mzuri wa Ibrahim, ambao katika zama zote unawaita watu wote kwenye Al-Kaaba wakati wa msimu wa Hija, mwaka huu pia umevutia nyoyo za Waislamu kote duniani kwenye ngome ya Tauhidi na umoja.
-
Barua ya Kiongozi Muadhamu kwa wanachuo wa Marekani
Jun 01, 2024 10:24Ifuatayo ni barua ya Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, aliyowaandikia wanachuo wa vyuo vikuu vya Marekani kufuatia utetezi wao wa kijasiri kwa maslahi ya watu wa Palestina.
-
Mwanadiplomasia Shahidi Hossein Amir abdollahian
May 29, 2024 07:04Tumeawandalia makala hii ya wiki ambayo itatupia jicho shakhsia ya Shahidi Hossein Amir Abdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran. Hossein, kama alivyokuwa akisema; ni mtu wa kijijini aliyekuwa akipenda tini, na Mwenyezi Mungu anaapa kwa tini na zeituni katika Qur'ani kwamba wale walioamini na wakatenda mema watapata malipo makubwa Kwake.