-
BBC, karne moja ya huduma na uaminifu kwa serikali ya Uingereza
Oct 20, 2022 08:48"Tom Mills, mwanasosholojia na mwandishi wa Kiingereza, anasema katika kitabu "The BBC: Myth of a Public Service" kwamba BBC daima imekuwa ikisema hewallah na imekuwa hadimu mtiifu kwa wale walio madarakani..."
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (2-Kuigawa Iran, lengo kuu la kistratijia la maadui)
Oct 19, 2022 08:57Moja ya malengo ya kistratijia ya maadui wa Mapinduzi ya Kiislamu tangu ushindi wa mapinduzi hayo Februari 1979 limekuwa ni kuuangusha mfumo wa Kiislamu na kuigawa Iran.
-
Tafakuri katika matukio ya hivi karibuni nchini Iran (nafasi ya vijana katika ushindi na kuyalinda Mapinduzi ya Kiislamu)
Oct 15, 2022 11:57Matukio na machafuko ya hivi karibuni katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamewapa maadui wa Iran fursa ya kuzidisha hujuma za kipropaganda na kisiasa na kutoa tathmini za kupotosha na kupindua hakika na ukweli wa mambo.
-
Imam Jaafar Sadiq AS alisisitiza umoja wa Waislamu
Oct 13, 2022 16:33Imam Ja'far Swadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW alizaliwa mwaka 83 Hijria katika mji mtakatifu wa Madina na kulelewa na baba yake mtukufu Imam Muhammad Baqir AS pamoja na mama yake mtoharifu.
-
Mtume Muhammad SAW alileta uhai mpya
Oct 13, 2022 16:31Waislamu duniani wanasherehekea Maulidi na kukumbuka tukio la kuzaliwa Mbora wa Walimwengu, Muhammad Mwaminifu SAW. Ni fusa muafaka ya kutafakari kuhusu umoja wa Waislamu duniani.
-
Umoja katika Hadithi za Mtume wa Rehma
Oct 13, 2022 08:04Bismillahil Rahmanil Rahim. Kwa jina la Mungu wa Muhammad (SAW) ambaye ametubariki na akatutambulisha Mtume wake, akateremsha Qur'ani kwake ili iwe hidaya na mwongozo kwa ajili ya wanaadamu wote.
-
Uhusiano wa Umoja na ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu (Wiki ya Umoja wa Kiislamu)
Oct 11, 2022 06:52Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema moja ya malengo ya mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ni kuunda ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu na kuwa lengo hilo haliwezi kufikiwa ila kwa kuwepo umoja wa Shia na Sunni.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Oct 10, 2022 07:44Siku hizi za mwezi wa Mfunguo Sita Rabiu Awwal ni fursa adhimu kwa Waislamu kote duniani kupitia tena Aya zinazohusiana na umoja na mshikamano wa Waislamu katika Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (saw) ambaye kwa mujibu wa riwaya na mapokezi mawili tofauti ya wanazuoni na wanahistoria, alizaliwa ama tarehe 12 au 17 ya mwezi huu.
-
Umuhimu wa Umoja (kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja)
Oct 09, 2022 12:22Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki cha kwanza cha mfululizo wa makala maalumu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu zinazokujieni kwa mnasaba wa sherehe za Maulidi na tukio muhimu la kuzaliwa mbora wa viumbe Mtume Muhammad (saw) katika mwezi huu wa Mfunguo Sita.
-
Kumbukizi ya kuuawa Shahidi Imam Hassan Askary (as)
Oct 09, 2022 11:56Assalaam Alaykum Wapenzi Wasikilizaji popote pale mlipo. Mwaka 260 Hijiria sawa na mwaka 873 Miladia moja ya maua ya bustani ya Ahlul Bait wa Mtume Mtukufu (saw) lilinyauka na jua la umri wake wenye saada na faida kubwa kwa wanadamu kutua.