-
Jumamosi, Machi 14, 2020
Mar 14, 2020 02:28Leo ni Jumamosi tarehe 19 Rajab 1441 Hijria mwafaka na tarehe 14 machi 2020 Miladia.
-
Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika
Jan 12, 2020 12:18مِنَ الْمُؤْمِنِینَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللَّهَ عَلَیْهِ فَمِنْهُمْ مَنْ قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَنْ یَنْتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِیلًا
-
Jumanne, Juni 4, 2019
Jun 04, 2019 02:16Leo ni Jumanne tarehe 29 Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na Juni 4 mwaka 2019 Milaadia.
-
Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia Iran
Apr 09, 2019 12:13Tarehe 20 Farvardin Inasadifiana na "Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia" nchini Iran. Katika siku kama hii mwaka 1385 Hijria Shamsia sawa na Aprili 9 2006, wanasayansi na wasomi Wairani walifanikiwa kukamilisha mzunguko wa utegenezaji fueli ya nyuklia katika maabara.
-
Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran
Feb 12, 2019 10:06Assalam Alaykum warhmatullahi wabarakatuh hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi hiki maaluimu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.
-
Alfajiri Kumi na Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2019 13:15Tarehe 12 Bahman sawa na tarehe Mosi Februari, inasadifiana na mwanzo wa sherehe za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu
Feb 02, 2019 04:35Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.
-
Wiki ya Umoja: Uislamu unaoshajiisha Umoja; dharura ya leo ya ulimwengu wa Kiislamu
Nov 20, 2018 12:11Tuko katika siku tukufu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu, ambayo ni wiki ya kuadhimishwa uzawa na maulidi ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).
-
Ijumaa, tarehe 6 Julai, 2018
Jul 06, 2018 04:25Leo ni Ijumaa tarehe 22 Shawwal 1439 Hijria sawa na tarehe 6 Julai 2018.
-
Jumatatu, Juni 4, 2018
Jun 04, 2018 04:09Leo ni Jumatatu tarehe 19 Ramadhani 1439 Hijria, sawa na tarehe 4 Juni, 2018 Miladia.