-
Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 26 pamoja na sauti
Mar 09, 2017 14:07Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 26 ya makala yanayokosoa kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (sawa) mienendo ya makundi ya ukufurishaji yanayotenda jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya Waislamu wengine.
-
Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 25 pamoja na sauti
Mar 09, 2017 13:59Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 25 ya makala yanayokosoa kwa mujibu wa Qur'ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (sawa) mienendo ya makundi ya ukufurishaji yanayotenda jinai na mauaji ya kutisha dhidi ya Waislamu wengine.
-
Mfululizo wa vipindi vya vinavyokosoa mienendo ya magenge potofu ya kigaidi na ukufurishaji/ sehemu ya 24 pamoja na sauti
Mar 09, 2017 13:46Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni tena katika mfululizo wa vipindi hivi vinavyokosoa kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu na suna za Bwana Mtume (saw) makundi ya ukufurishaji yanayotekeleza jinai za kutisha dhidi ya Waislamu wengine hii ikiwa ni sehemu ya 24 ya mfululizo huo.
-
Jumatatu, 30 Januari, 2017
Jan 30, 2017 04:00Leo ni Jumatatu tarehe Mosi Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 30 Januari 2017.
-
Jumatano 07 Disemba, 2016
Dec 07, 2016 03:54Leo ni Jumatano tarehe 7 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 7, 2016.
-
Jumapili, 4 Septemba, 2016
Sep 04, 2016 03:51Leo ni Jumapili tarehe Pili Mfunguo Tatu Dhul-Hijjah mwaka 1437 Hijiria, sawa na tarehe nne Septemba mwaka 2016 Miladia.
-
Ijumaa, Septemba Pili, 2016
Sep 02, 2016 04:34Leo ni Ijumaa tarehe 30 Dhilqaada 1437 Hijria sawa na tarehe Pili Septemba 2016.
-
Jumanne Agosti Pili, 2015
Aug 02, 2016 06:30Leo ni Jumanne tarehe 28 Shawwal 1437 Hijria sawaq na 2 Agosti 2016.
-
Ijumaa, 29 Julai, 2016
Jul 29, 2016 06:03Leo ni Ijumaa tarehe 24 Shawwal 1437 Hijria sawa na 29 Julai 2016.
-
Palmyra, Lulu ya Jangwani, kabla na baada ya kuhujumiwa na ISIS
Apr 20, 2016 06:15Jeshi la Syria hivi karibuni liliukomboa mji wa kale wa Palmyra au Tadmur kutoka kwa kundi la magaidi wakufurishaji wa ISIS au Daesh. Makala yetu ya leo itaangazia kwa kifupi kuhusu mji huo muhimu na wa kihistoria nchini Syria