-
Muirani ashinda dhahabu Rio na kuvunja rekodi
Aug 13, 2016 03:48Bingwa wa mchezo wa kunyanyua uzani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelishindia taifa hili medali ya kwanza ya dhahabu sambamba na kuvunja rekodi ya dunia katika mashindano ya Olimpiki ya Rio yanayoendelea nchini Brazil.
-
Ulimwengu wa Michezo, Agosti 8
Aug 08, 2016 03:41Kwa matukio kemkem ya spoti yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita yakiwemo mashindano ya Olimpiki ya Rio..........
-
Alkhamisi 04 Agosti, 2016
Aug 04, 2016 02:49Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Dhulqaada 1437 Hijria sawa na Agosti 4, 2016.
-
Spoti, Agosti 1
Aug 01, 2016 01:38Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu katika dakika hizi chache za kukupasha matukio kemkem ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita hapa nchini na katika sehemu mbalimbali ya dunia. Nakusihi usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi, karibu…………………
-
Jumamosi, Julai 30, 2016
Jul 29, 2016 22:05Leo ni Jumamosi tarehe 25 Mfunguo Mosi Shawwal 1437 Hijria sawa na tarehe 30 Julai mwaka 2016 Miladia.
-
Alkhamisi 28 Julai 2016
Jul 28, 2016 02:00Leo ni Alkhamisi tarehe 23 Shawwal 1437 Hijria sawa na Julai 28, 2016.
-
Jumatano, Julai 27, 2016
Jul 26, 2016 21:58Leo ni Jumatano tarehe 22 Shawwal 1437 Hijria sawa na Julai 27, 2016.
-
Malengo na mbinu za Wamagharibi katika kueneza chuki dhidi ya Iran na Uislamu
Apr 20, 2016 01:33Baada ya kusambaratika mfumo wa ncha mbili wa kambi za Magharibi na Mashariki, jumuiya ya kimataifa ingali katika kipindi cha mpito. Katika kipindi hiki cha mpito, nchi za Magharibi zinazodai kuwa na utamaduni bora zinadai kuwa kufuatia kusambaratika mfumo wa Kikomunisti, hakuna tena chaguo jngine isipokuwa Demokrasia ya Kiliberali katika dunia.
-
Maingiliano ya Marekani na Iran mwaka mmoja uliopita
Mar 30, 2016 02:10Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala hii itakayoangazia kwa kifupi maingiliano baina ya Iran na Marekani katika mwaka uliopita wa 1394 Hijria Shamsia.
-
Uhusiano wa Iran na Afrika mwaka moja uliopita
Mar 17, 2016 03:50Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki maalumu ambacho kitaangazia kwa kifupi baadhi ya nukta kuhusu uhusiano wa Iran na nchi za Afrika katika kipindi cha mwaka moja uliopita.