-
Jumatatu tarehe 25 Juni, 2018
Jun 25, 2018 07:53Leo ni Jumatatu tarehe 11 Shawwal 1439 Hijria sawa na tarehe 25 Juni 2018.
-
Jumatano tarehe 27 Disemba, 2017
Dec 27, 2017 02:40Leo ni Jumatano tarehe 8 Rabiuthani, 1439 Hijria sawa na 27 Disemba, 2017
-
Jumamosi, Disemba 2, 2017
Dec 02, 2017 04:11Leo ni Jumamosi tarehe 13 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1439 Hijria mwafaka na tarehe Pili Disemba 2017 Miladia.
-
Jumamosi, Septemba 9, 2017
Sep 09, 2017 02:34Leo ni Jumamosi tarehe 18 Mfunguo Tatu Dhulhaji 1438 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 9 Septemba 2017 Miladia.
-
Jumamosi, Mei 20, 2017
May 20, 2017 06:12Leo ni Jumamosi tarehe 23 Shaaban 1438 Hijria sawa na tarehe 20 Mei mwaka 2017 Miladia.
-
Jumanne, Disemba 27, 2016
Dec 27, 2016 08:20Leo ni Jumanne tarehe 27 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1438 Hijria sawa na Disemba 27, 2016 Milaadia.
-
Alkhamisi, 27 Oktoba, 2016
Oct 27, 2016 05:46Leo ni Alkhamisi tarehe 25 Muharram 1438 Hijria sawa na Oktoba 27, 2016.
-
Ijumaa, 08 Julai 2016
Jul 08, 2016 06:09Miaka 22 iliyopita katika siku inayosadifiana na hii ya leo, Kim Il Sung kiongozi wa zamani wa Korea ya kaskazini na Katibu Mkuu wa chama cha Kikomonisti cha nchi hiyo alifariki dunia. Kim Il Sung alizaliwa mwaka 1912. Mwaka 1945, Sung alirejea na jeshi la nchi hiyo upande wa kaskazini mwa nchi akiwa kama kamanda.