-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Sep 26, 2024 12:01Kipindi cha baina ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita kimetangazwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Wiki ya Umoja na Mshikamano baina ya Waislamu wote duniani, lengo likiwa ni kuwakusanya pamoja Waislamu wote wa madhehebu na mitazamo tofauti katika Tauhidi na umoja wa Kiislamu.
-
Jumatano tarehe Pili Novemba 2022
Nov 02, 2022 02:22Leo ni Jumatano tarehe 7 Rabiuthabi 1444 inayosadifiana na tarehe Pili Novemba 2022.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (43)
Apr 28, 2022 06:13Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu
-
Alkhamisi tarehe 23 Aprili mwaka 2020
Apr 23, 2020 02:43Leo ni Alkhamisi tarehe 29 Shaabani 1441 Hijria sawa na Aprili 23 mwaka 2020.
-
Hijra ya Mtume (saw) kutoka Makka hadi Madina
Oct 30, 2019 10:19Jumatano ya wiki hii tarehe Mosi Mfunguo Sita Rabiul Awwal ilisadifiana na siku ya Hijra ya Mtume wetu Muhammad (saw) kutoka Makka na kuhamia Madina na inakumbusha tukio maarufu la "Lailatul Mabiit', usiku ambao ndani yake Amirul Muuminin Ali bin Abi Twalib (as) alisabilia nafsi yake kwa kulala katika kitanda cha Mtume wakati mtukufu huyo alipoondoka Makka akielekea Madina.
-
Jumatatu, 12 Agosti, mwaka 2019
Aug 12, 2019 02:41Leo ni Jumatatu tarehe 10 Dhulhija mwaka 1440 Hijria sawa na Agosti 12 mwaka 2019.
-
Jumanne tarehe 30 Julai mwaka 2019
Jul 30, 2019 02:26Leo ni Jumanne tarehe 27 Dhulqaada 1440 Hijria inayosadifiana na Julai 30 mwaka 2019.
-
Jumamosi, 6 Oktoba, 2018
Oct 06, 2018 03:45Leo ni Jumamosi tarehe 26 Mfunguo Nne Muharram 1440 Hijria sawa na tarehe 6 Oktoba 2018 Miladia.
-
Kipindi maalumu cha Milaad an-Nabi SAW
Dec 04, 2017 12:03Hizi ni siku za kusherehekea uzawa wa Bwana Mtume Muhammad al-Mustafa (saw). Huku tukikupeni mkono wa pongezi, fanaka na heri kwa mnasaba wa kuwadia siku hizi adhimu na za furaha kubwa, tunakuombeni mujiunge nasi ili tupate kusikiliza kwa pamoja kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba huu, karibuni.
-
Jumanne tarehe 17 Oktoba, 2017
Oct 17, 2017 16:35Leo ni Jumanne tarehe 26 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria sawa na Oktoba 17, 017