• Jumapili, Januari 20, 2019

    Jumapili, Januari 20, 2019

    Jan 20, 2019 01:10

    Leo ni Jumapili tarehe 13 Jamadil-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 20 Januari 2019 Miladia.

  • Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (6)

    Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (6)

    Jan 15, 2019 06:44

    Sehemu ya Tano: Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani. Msikilizaji mpenzi wa Radio Tehran, ni matumaini yangu kuwa hujambo popote pale ulipo wakati huu. Nakukaribisha tena kusikiliza kipindi hiki kinachokujia kila wiki, siku na saa kama hii, kinachozungumzia Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii.

  • Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (3)

    Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (3)

    Jan 15, 2019 06:22

    Sehemu ya Pili: Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani. Msikilizaji mpenzi wa Radio Tehran, huku nikitumai kuwa hujambo popote pale ulipo wakati huu, nakukaribisha kusikiliza kipindi hiki kinachokujia kila wiki, siku na saa kama hii. Endelea kuwa nami basi hadi mwisho wa mazungumzo yetu, ili kuweza kufaidika na yale niliyokuandalia katika mfululizo huu wa pili.

  • Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Mapinduzi ya Kiislamu; miaka 39 ya kusimama kidete dhidi ya mfumo wa kibeberu

    Jan 09, 2019 07:46

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi, ambacho ni kipindi cha tangu kurejea Imam Khomeini kutoka uhamishoni hadi kupatikana ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu. Kipindi chetu cha leo kitajadili kusimama kidete mapinduzi haya kwa miaka 39 dhidi ya mfumo wa kibeberu. Kuweni nami hadi mwisho wa kipindi hiki.

  • Ijumaa, Disemba 28, 2018

    Ijumaa, Disemba 28, 2018

    Dec 28, 2018 02:58

    Leo ni Ijumaa tarehe 20 Mfunguo Saba Rabiuthani 1440 Hijria sawa na Disemba 28 Disemba 2018 Milaadia.

  • Kufuatilia amani ni msingi wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo

    Kufuatilia amani ni msingi wa sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo

    Nov 11, 2018 09:23

    Karibuni kujiunga nami katika makala hii maalumu ambayo leo itaangazia jitihada za Iran za kueneza amani na usalama katika eneo la Asia Magharibi au Mashariki ya Kati nukta ambayo ni moja ya sababu za kuendelea kuwa na nguvu Jamhuri ya Kiislamu. Makala hii inawajieni kwa munasaba wa maadhimisho ya miaka 40 tokea yapate ushindi Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran mwaka 1979. Ni matumaini yangu kuwa mtaweza kunufaika na tuliyokuandalieni.

  • Jumatatu, tarehe 5 Novemba, 2018

    Jumatatu, tarehe 5 Novemba, 2018

    Nov 05, 2018 10:29

    Leo ni Jumatatu tarehe 26 Mfunguo Tano Safar 1440 Hijria, sawa na tarehe 5 Novemba, 2018.

  • Jumatatu tarehe 24 Septemba 2018

    Jumatatu tarehe 24 Septemba 2018

    Sep 24, 2018 08:53

    Leo ni Jumatatu tarehe 14 Muharram 1440 Hijria sawa na Septemba 24, 2018.

  • "Ghuba ya Uajemi" (Persian Gulf); Jina Litakalobaki Milele Katika Kurasa za Historia

    May 01, 2018 08:35

    Ni matumaini yangu kuwa hujambo mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Jumatatu ya tarehe 30 Aprili ilisadifiana na siku ya mwisho ya kuondoka Wareno baada ya kutimuliwa kwenye eneo la maji ya kusini mwa Iran. Kwa mnasaba wa tukio hilo, siku hii inajulikana katika kalenda rasmi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kama "Siku ya Taifa ya Ghuba ya Uajemi". Baada ya utangulizi huo mfupi nakuomba sasa ujiweke tayari kusikiliza yale niliyokuandalia kwa mnasaba wa siku hiyo.

  • Alkhamisi tarehe Mosi Machi 2018

    Alkhamisi tarehe Mosi Machi 2018

    Mar 01, 2018 04:33

    Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Jamadithani 1439 Hijria sawa na tarehe Mosi Machi 2018.