-
Jumamosi, 20 Julai, 2019
Jul 20, 2019 02:22Leo ni Jumamosi tarehe 17 Mfunguo Pili, Dhul-Qaadah 1440 Hijria mwafaka na tarehe 20 Julai 2019.
-
Ijumaa tarehe 28 Juni 2019
Jun 28, 2019 03:41Leo ni Ijumaa tarehe 24 Shawwal 1440 Hijria sawa na Juni 28 mwaka 2019
-
Mwaka 2019 na kujiondoka Marekani na Israel katika shirika la UNESCO
Jan 09, 2019 08:48Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel tarehe Mosi mwezi huu wa Januari 2019 zilijiondoa rasmi katika Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) zikilalamikia kile kilichotajwa ni mwelekeo wa jumuiya hiyo dhidi ya Israel.
-
Vita vya kiuchumi vya Marekani na Iran inayoendelea kusonga mbele kiustawi
Nov 11, 2018 09:16Rais Donald Trump wa Marekani anaamini kuwa, awamu ya pili ya vikwazo dhidi ya Iran ni aina kali zaidi ya vikwazo itakavyo vihimili Iran. Awamu hiyo ya pili ya vikwazo vya serikali ya Washington ilianza kutekelezwa tarehe 5 Novemba; vikwazo ambavyo vinawaathiri moja kwa moja raia wa kawaida wa Iran.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 41 + Sauti
Jun 16, 2018 16:49Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 41 na ya mwisho ya makala haya yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Ijumaa, Juni Mosi, 2018
Jun 01, 2018 00:58Leo ni Ijumaa tarehe 16 Ramadhani mwaka 1439 Hijria, inayosadifiana na Juni Mosi mwaka 2018 Miladia.
-
Jumatano Novemba 15, 2017
Nov 15, 2017 03:49Leo ni Jumatano tarehe 26 Safar 1439 Hijria inayosadifiana na Novemba 15, 2017.
-
Jumatatu 30 Oktoba, 2017
Oct 30, 2017 03:57Leo ni Jumatatu tarehe 10 Safar 1439 Hijria sawa na tarehe 30 Oktoba 2017.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-8
Oct 08, 2017 13:54Katika kipindi kilichopita tulizungumzia ongezeko la vitendo vya chuki na ubaguzi wa hali ya juu dhidi ya Uislamu na Waislamu katika nchi za Magharibi hasa baada ya kuingia madarakani Rais Donald Trump wa Marekani. Leo tutazungumzia juhudi za Waislamu wa mataifa hayo ya Magharibi katika kuuarifisha Uislamu.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi na sauti-6
Sep 17, 2017 17:53Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya sita ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.