-
Bibi Fatimatu-Zahra (SA), Mama wa Mema na Mazuri Yote
Feb 25, 2019 12:54Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Tarehe 20 Mfunguo Tisa, Jamadu Thani mwaka wa Hijria imepambwa kwa uzawa wa Bibi Fatimatu-Zahra (sa), binti wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Uzawa wa mtukufu huyo lilikuwa tukio muhimu lililotokea katika miaka ya ujumbe wa Bwana Mtume SAW.
-
Ruwaza Njema (14)
Feb 19, 2019 03:20Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Kama ilivyo kawaida yetu, katika kipindi hiki pia tutachambua baadhi ya Hadithi za kuaminika kutoka kwa watukufu wa Nyumba ya Mtume (saw) ili zitusaidie na kutuongoza katika njia nyoofu ya kuiga na kufuata mfano mwema wa tabia na nyendo za kuvutia za Mtume (saw) katika maisha yetu ya kila siku.
-
Ruwaza Njema (13)
Feb 19, 2019 03:14Assalaam Aleikum Wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran. Karibuni kusikiliza sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambacho hutufafanulia visa na mifano tofauti ya sifa na tabia njema za Mtume Mtukufu (saw), ili nasi tupate kufuata na kujipamba kwa tabia hizo njema.
-
Ruwaza Njema (12)
Feb 06, 2019 10:52Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya 12 katika mfululizo wa vipindi hivi vya Ruwaza Njema.
-
Ruwaza Njema (11)
Feb 06, 2019 10:47Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 11 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia sifa njema ya Mtume Mtukufu (saw) ambaye ni mbora wa viumbe, ya kusamehe watu na kuwaongoza kwenye heri kuu, hata tunapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa mabaya waliyotufanyia.
-
Ruwaza Njema (9)
Jan 30, 2019 05:03Assalaam Alaykum. Ni siku nyingine ambayo tumejaaliwa kukutana nanyi tena wapenzi wasikilizaji katika kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia tabia nyingine njema ya mbora wa viumbe, Mtume Mtukufu (saw) kuhusiana na jinsi ya kuamiliana vyema na Watu wa Kitabu yaani Wakristo wanaoishi katika kivuli cha serikali adilifu na inayofuata mafundisho ya Mwenyezi Mungu na namna alivyokuwa akifanya ibada zake, hivyo kuweni nasi hadi mwisho wa kipindi.
-
Kuchomoza Nuru ya Uongofu; Maadhimisho ya Uzawa wa Bwana Mtume Muhammad SAW
Nov 24, 2018 03:57Assalamu Alaykum Warahamtullahi Wabarakatuh. Wasikilizaji wapenzi, tungali tumo kwenye masiku ya kuadhimisha Maulidi, yaani uzawa wa shakhsia wa kustaajabisha katika historia na zama, ambaye alipambika kwa sifa bora za akhlaqi, zilizowavutia watu na kuwajenga kiutu.
-
Jumanne 20 Novemba 2018
Nov 20, 2018 00:11leo ni Jumanne 12 Rabiul Awwal 1440 Hijria sawa na tarehe 20 Novemba 2018.
-
Jumapili Novemba 18
Nov 17, 2018 23:16Leo ni Jumapili tarehe 10 Mfungo Sita Rabiul-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 18 Novemba 2018 Miladia.
-
Khadija al-Kubra; johari inayong’ara katika nyumba ya Bwana Mtume SAW
Nov 17, 2018 09:27Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbusha siku ya kufunga ndoa Bwana Mtume SAW na Bibi Khadija binti Khuwaylid AS.