-
Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (2)
Nov 19, 2023 06:36Hamjambo wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inayokutangazieni kutoka mjini Tehran na karibuni kusikiliza sehemu ya pili ya kipindi cha Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu.
-
Palestina, Suala Kuu la Umma wa Kiislamu (1)
Nov 19, 2023 06:33Katika kikao chake na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran pamoja na mabalozi wa nchi za Kiislamu tarehe 18 Februari mwaka huu, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran alisema suala la Palestina ni moja ya masuala muhimu zaidi ya ulimwengu wa Kiislamu. Alisema hali ya kusikitisha na kuhuzunisha ya hivi sasa huko Palestina ni matokeo ya kupuuzwa suala hilo na baadhi ya nchi za Kiislamu.
-
Kupambana na Utawala wa Kizayuni wa Israel katika Mtazamo wa Uislamu
Nov 09, 2023 11:27Hamjambo na karibuni kuwa nasi katika kipindi chetu cha Makala ya Wiki ambacho leo kinaangazia mtazamo wa dini ya Kiislamu kuhusu kujilinda na kukabiliana na ukandamizaji, uchokozi na uvamizi.
-
Maangamizi ya kizazi Ukanda wa Ghaza na ubinadamu uliotoweka katika nchi za Magharibi
Nov 02, 2023 09:10Ni wakati mwingine wa kuwa nanyi wapenda wasikilizaji katika Makala ya Wiki hii na leo tutazungumzia maangamizi ya kizazi katika eneo la Ukanda wa Ghaza na kuporomoka kwa ubinadamu katika nchi za Magharibi.
-
Uungaji Mkono wa Marekani kwa Israel; Sababu na Kwa Nini
Oct 31, 2023 10:40Hamjambo wapendwa wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi chetu cha makala ya wiki, ambapo juma hili tutazungumzia uungaji mkono wa Marekani kwa Israel, sababu na kwa nini. Karibuni.
-
Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 11, 2023 11:54Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.
-
Ijumaa, tarehe 17 Machi, mwaka 2023
Mar 17, 2023 02:14Leo ni Ijumaa tarehe 24 Shaaban 1444 Hijria sawa na tarehe 17 Machi mwaka 2023.
-
Jumanne, tarehe 14 Machi, 2023
Mar 14, 2023 02:06Leo ni Jumanne tarehe 21 Shaabani 1444 Hijria sawa na Machi 14 mwaka 2023.
-
Jumapili, Mosi Januari, 2023
Jan 01, 2023 02:13Leo ni Jumapili tarehe 8 Mfunguo Tisa Jamadu-Thani 1444 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe Mosi Januari 2023 Miladia.
-
Jumapili, 25 Disemba, 2022
Dec 25, 2022 02:15Leo ni Jumapili tarehe Mosi Mfunguo Tisa Jamadu-Thani 1444 Hijriia sawa na tarehe 25 Disemba 2022 Miladia.