-
Ijumaa, 22 Februari, 2019
Feb 22, 2019 01:09Leo ni Ijumaa tarehe 16 Jumadithani 1440 Hijria sawa na Februari 22 mwaka 2019.
-
Jumamosi, 17 Novemba, 2018
Nov 17, 2018 01:10Leo ni Jumamosi tarehe 9 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1440 Hijria, mwafaka na tarehe 17 Novemba 2018 Miladia.
-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (62)
Sep 09, 2018 11:12Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi la Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipitia hivi sasa umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya 62.
-
Jumamosi, 8 Septemba, 2018
Sep 08, 2018 01:24Leo ni Jumamosi tarehe 27 Mfunguo Tatu Dhulhija 1439 Hijria sawa na tarehe 8 Septemba 2018 Miladia.
-
Hadithi ya Uongofu (122)
Aug 10, 2018 08:13Ni wasaa na wakati mwingine mpenzi msikilizaji wa kujiunga nami Salum Bendera katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Kwa wale wafuatialiaji wa kipindi hiki wanakumbuka kwamba, wiki iliyopita tulijadili moja ya sifa mbaya ya kimaadili nayo ni ya kujikomba na kujipendekeza kwa wengine.
-
Jumanne tarehe 26 Juni, 2018
Jun 26, 2018 14:32Leo ni Jumanne tarehe 12 Shawwal 1439 Hijria saw ana Juni 26, 2018.
-
Jumamosi, 7 Aprili, 2018
Apr 08, 2018 09:43Leo ni Jumamosi tarehe 20 ya mwezi wa Rajab 1439 Hijria mwafaka na tarehe 7 Aprili 2018 Miladia.
-
Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu (27)
Mar 18, 2018 10:30Amani ya Allah, rehma na baraka zake ziwe juu yenu wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo. Karibuni kusikiliza kipindi hiki kinachozungumzia suala muhimu na la msingi la Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu. Suala ambalo kutokana na kipindi ambacho Ulimwengu wa Kiislamu unakipitia hivi sasa umuhimu wake unahisika zaidi wakati huu pengine kuliko wakati mwengine wowote ule. Endeleeni basi kuwa pamoja nami kuanzia awali hadi tamati ya mfululizo huu, hii ikiwa ni sehemu yake ya 27.
-
Hadithi ya Uongofu (109)
Mar 06, 2018 11:49Ni wasaa na wakati mwingine mnapojiunga nami Salum Bendera katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Hadithi ya Uongofu. Sehemu iliyopita ya mfululizo huu ilizungumzia suala la ushindani. Tulisema kuwa, ushindani umegawanyika katika sehemu mbili za ushindani mzuri na mbaya.
-
Ijumaa tarehe Pili Machi, 2018
Mar 02, 2018 02:35Leo ni Ijumaa tarehe 13 Jamadithani 1439 Hijria sawa na Pili Machi 2018.