• Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Palestina, Mhimili wa Umoja katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Oct 11, 2023 11:54

    Karibuni kutegea sikio kipindi cha juma hili cha Makala ya Wiki ambacho kitazungumzia Palestina kama mhimili wa umoja baina ya Waislamu wote.

  • Alkhamisi tarehe 28 Septemba, 2023

    Alkhamisi tarehe 28 Septemba, 2023

    Sep 28, 2023 03:03

    Leo ni Alkhamisi tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Septemba 28, 2023.

  • Umoja katika Hadithi za Mtume wa Rehma

    Umoja katika Hadithi za Mtume wa Rehma

    Oct 13, 2022 08:04

    Bismillahil Rahmanil Rahim. Kwa jina la Mungu wa Muhammad (SAW) ambaye ametubariki na akatutambulisha Mtume wake, akateremsha Qur'ani kwake ili iwe hidaya na mwongozo kwa ajili ya wanaadamu wote.

  • Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)

    Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)

    Oct 10, 2022 07:44

    Siku hizi za mwezi wa Mfunguo Sita Rabiu Awwal ni fursa adhimu kwa Waislamu kote duniani kupitia tena Aya zinazohusiana na umoja na mshikamano wa Waislamu katika Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume wetu Muhammad (saw) ambaye kwa mujibu wa riwaya na mapokezi mawili tofauti ya wanazuoni na wanahistoria, alizaliwa ama tarehe 12 au 17 ya mwezi huu.

  • Umuhimu wa Umoja (kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja)

    Umuhimu wa Umoja (kwa mnasaba wa Wiki ya Umoja)

    Oct 09, 2022 12:22

    Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nami katika kipindi hiki cha kwanza cha mfululizo wa makala maalumu za Wiki ya Umoja wa Kiislamu zinazokujieni kwa mnasaba wa sherehe za Maulidi na tukio muhimu la kuzaliwa mbora wa viumbe Mtume Muhammad (saw) katika mwezi huu wa Mfunguo Sita.

  • Jumapili, 09 Oktoba, 2022

    Jumapili, 09 Oktoba, 2022

    Oct 09, 2022 02:21

    Leo ni Jumapili tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe 9 Oktoba 2022 Miladia.

  • Kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW

    Kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad SAW

    Oct 23, 2021 12:31

    Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa Maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtukufu Mtume Muhammad SAW.

  • Jumanne tarehe 19 Oktoba 2021

    Jumanne tarehe 19 Oktoba 2021

    Oct 19, 2021 08:14

    Leo ni Jumanne tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1443 Hijria sawa na Oktoba 19 mwaka 2021.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-4: Nafasi ya Umoja katika kuepusha chuki dhidi ya Uislamu

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-4: Nafasi ya Umoja katika kuepusha chuki dhidi ya Uislamu

    Nov 11, 2019 10:33

    Katika ulimwengu wa leo chuki dhidi ya Uislamu, au kwa jila la kiingereza Islamophobia, ni jambo linalopewa uzito na kuenezwa kwa namna maalumu katika vyombo vya habari vya nchi za Magharibi.

  • Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Wiki ya Umoja wa Kiislamu-3: Fursa ya Kuimarisha Mazingira ya Kupatikana Umoja Katika Ulimwengu wa Kiislamu

    Nov 11, 2019 07:58

    Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Karibuni kusikiliza kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha Wiki ya Umoja, sambamba na kusherehekea kuzaliwa mbora wa viumbe Bwana Mtume Muhammad SAW. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya kipindi kutegea sikio yale niliyokuandalieni kwa leo.