-
Ayatullah Khamenei: Marekani haiwezi kufanya chochote kuhusu mradi wetu wa nyuklia
Jun 04, 2025 07:07Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amesema urutubishaji wa urani ndio ufunguo wa suala la nyuklia la Iran, akipuuzilia mbali pendekezo la Marekani kwa Tehran la kusimamisha kikamilifu urutubishaji wa madini hayo (ya urani).
-
Mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran kikanda na duniani
Feb 10, 2025 02:40Leo Iran inaadhimisha miaka 46 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyotokea mwaka 1979 chini ya uongozi wa hayati Imam Ruhullah Khomeini. Matokeo na mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran daima yamekuwa na taathira kwa kanda ya Asia Magharibi na dunia kwa ujumla.
-
"Mapinduzi ya Kiislamu yaliathiri mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya apartheid"
Feb 05, 2025 12:18Mwanahabari mkongwe mjini Cape Town, Farid Sayed amesema Mapinduzi ya Kiislamu na kuasisiwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kulikuwa na athari kubwa kwa mapambano ya Afrika Kusini dhidi ya mfumo wa ubaguzi wa rangi wa apartheid.
-
Iran yaanza sherehe za Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Jan 31, 2025 13:33Raia wa Iran leo wameanza sherehe za Alfajiri Kumi ili kuadhimisha mwaka wa 46 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaliyouangusha utawala wa kifalme wa Pahlavi uliokuwa ukiungwa mkono na kusaidiwa na Marekani.
-
Ijumaa tarehe 31 Januari 2025
Jan 31, 2025 02:21Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Shaaban 1446 Hijria sawa na 31 Januari 2025 Milaadia.
-
Mamilioni ya Wairani waadhimisha Mapinduzi ya Kiislamu, wasema yamehuisha Umma wa Kiislamu
Feb 11, 2024 12:13Mamilioni ya wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini wametangaza kuwa: Mapinduzi ya Kiislamu yameibua roho mpya katika mwili wa Umma wa Kiislamu na kupanua zaidi mapambano ya kupinga dhulma na uonevu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu, kuandaliwa mazingira ya kudhihiri Imam Mahdi (a.t.f.s)
Feb 11, 2024 04:28Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kuadhimisha miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979 kwa uongozi wenye busara na hekima wa Imamu Ruhullah Khomeini (MA).
-
Mapinduzi ya Kiisamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran
Feb 11, 2024 04:27Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979
-
Msemaji wa Maulamaa wa Palestina: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yamebadilisha historia ya dunia
Feb 10, 2024 10:40Mkuu wa Baraza la Ushauri na Msemaji wa Baraza Kuu la Maulamaa wa Palestina amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran si kwa ajili ya nchi hiyo tu bali ni kwa ajili ya ulimwengu mzima kwani yamebadilisha sura ya historia ya dunia.
-
Msomi Mnigeria: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni dhihirisho la kupigania uhuru duniani
Feb 08, 2024 03:03Mwanasiasa na mwandishi mashuhuri wa Nigeria amesema kuwa, Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (RA) ni kigezo cha wapigania uhuru kote duniani ili kuzifanya nchi zao kuwa huru.