-
Mafanikio ya Iran katika siasa za ndani za kipindi cha miaka 45 iliyopita
Feb 08, 2024 02:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepata mafanikio makubwa katika siasa zake za ndani na nje kwenye kipindi cha miaka 45 ya Mapinduzi ya Kiislamu humu nchini.
-
Mapinduzi ya Kiislamu; chimbuko la mageuzi ya kiroho na kimaanawi ya wananchi wa Iran
Feb 05, 2024 06:24Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 45 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ya Iran yaliyotokea 1979
-
Kuanza Alfajiri Kumi za Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran
Feb 01, 2024 12:25Leo (Alhamisi), tarehe 12 Bahman 1402 Hijria Shamsia inayosadifiana na tarehe Mosi Februari 2024, ni mwanzo wa siku kumi zlizobarikiwa za alfajiri ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.
-
Maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu yaanza rasmi nchini Iran
Feb 01, 2024 07:15Alkhamisi ya leo ya tarehe Mosi Februari 2024 inasadifiana na tarehe 12 Bahman 1402 kwa kalenda ya Iran ya Hijria Shamsia. Tarehe kama hii kila mwaka huwa ndio mwanzo wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.
-
Tarehe 12 Bahman, kumbukumbu ya kurejea Iran Imam Khomeini; kuanza Alfajiri Kumi
Jan 31, 2024 16:36Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Wasikilizaji wapenzi, Alkhamisi ya tarehe Mosi Februari wiki hii inasadifiana na tarehe 12 Bahman ambayo ni kumbukumbu ya moja ya matukio makubwa katika historia ya zama hizi, tukio la tarehe 12 Bahman 1357 kwa mujibu wa kalenda ya Hijria Shamsia iliyosadifiana na tarehe Mosi Februari 1979.
-
Aban 13, Siku ya Taifa ya Kupambana na Uistikbari wa Kimataifa
Nov 13, 2023 11:51Assalamu alaykum wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hasa huko nyumbani Afrika Mashariki. Ni matumaini yangu kuwa, mubukheir wa afya na mnaendelea vyema katika kutekeleza majukumu yenu ya kila siku.
-
Zakzaky akiwa Tehran: Mapinduzi ya Kiislamu yataleta mabadiliko duniani
Oct 11, 2023 12:09Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) amesema anatumai Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yataleta mabadiliko na mageuzi katika kona zote za dunia.
-
Iran yamshambulia Macron kwa kukutana na wanaopinga Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 18, 2023 10:19Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amemjia juu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa kwa kukutana na 'shakhsia' wanaopinga mfumo wa uongozi na Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran tokeo mwaka 1979.
-
Juhudi tasa za miongo minne za Marekani za kuuangusha mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Feb 12, 2023 12:09Mamilioni ya Wairani jana Jumamosi walishiriki katika maandamano ya maadhimisho ya tarehe 22 Bahman (Februari 11) na kuadhimisha kwa hamasa kubwa miaka 44 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Mapinduzi ya Kiislamu: Ilhamu ya kuhuisha Ustaarabu wa kisasa wa Kiislamu
Feb 12, 2023 07:26Assalamu Alaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mnaponitegea sikio wakati huu. Nakukaribisheni kwa moyo mkunjufu kusikiliza mfululizo mwingine wa vipindi hivi maalumu tulivyokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya Alfajiri Kumi za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, ambapo maudhui yetu ya leo ni kuhuishwa Ustaarabu wa kisasa wa Kiirani na Kiislamu. Endeleeni kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.