-
Ijumaa, tarehe 10 Februari, 2023
Feb 10, 2023 02:24Leo Ijumaa tarehe 19 Rajab mwaka 1444 Hijria sawa na 10 Februari 2023.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu asisitiza ulazima wa kuwepo umoja wa kitaifa na kukabiliana na mikakati ya adui
Feb 09, 2023 10:48Umoja wa kitaifa na umoja wa jamii una nafasi maalum kwa watu wa kila nchi. Bila kuwepo umoja wa kitaifa, uhai wa nchi na taifa hauwezi kupatikana. Umoja wa kitaifa unamaanisha umoja wa taifa kubwa na lenye fahari la Iran ambao ni siri ya ushindi wa taifa hili na sababu ya kuimarishwa jamii.
-
Mapinduzi ya Iran; Muujiza wa Mwenyezi Mungu
Feb 07, 2023 11:20Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na katika kipindi kingine maalumu katika mfululizo wa vipindi vya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyopita ushindi 1979 kwa uongozi wa Imam Ruhullah Khomeini MA.
-
Alfajiri Kumi; Mapinduzi ya Kiislamu na mafanikio ya kiuchumi
Feb 06, 2023 10:55Katika kipindi cha leo, tutaangalia kwa kifupi mafanikio ya kiuchumi yaliyopatikana nchini Iran baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, na hasa katika uwanja wa nishati.
-
Jumamosi, 4 Februari, 2023
Feb 04, 2023 02:14Leo ni Jumamosi tarehe 13 Rajab 1444 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 4 Februari 2023 Miladia.
-
Rais Ebrahim Raisi: Taifa la Iran muda wote limekuwa likiwakatisha tamaa maadui
Feb 03, 2023 04:14Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kujitokeza vilivyo na kwa wingi wananchi katika nyuga tofauti kumekuwa muda wote kukiwavunja moyo na kuwakatisha maadui wa Iran ya Kiislamu.
-
Nafasi ya Utawala wa Faqihi katika Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 02, 2023 12:34Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 44 wa ushidi wa Mapinduzi ya Kiislau ya nchini Iran.
-
Afajiri Kumi, Mja Mwema
Feb 02, 2023 12:30Tunakaribia Afajiri Kumi za mwaka wa 44 wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Tumekutayarishieni vipindi kadhaa maalumu kwa mnasaba huu ambavyo tunatumai vitakunufaisheni nyote wapenzi wasikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili, Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, karibuni.
-
Rais Raisi: Licha ya fitna na njama zote, Mapinduzi ya Kiislamu yamezidi kudhihirika duniani
Jan 31, 2023 11:49Rais Ebrahim Raisi amesema: Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran chini ya uongozi wa Imam Khomeini (MA) yamedumu licha ya fitna na njama zote za adui na yamezidi kudhihirika duniani.
-
Kumbukumbu ya Siku ya Kuanzishwa Harakati ya Kupambana na Ujinga nchini Iran
Dec 31, 2022 13:20Moja kati ya haki za msingi za binadamu katika jamii yoyote ile ni kujua kusoma na kuandika.