Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Quds

  • Jenerali Qassem Soleimani: Iran iko tayari kuvisaidia vikosi vya Muqawama vya Palestina kwa kila hali

    Jenerali Qassem Soleimani: Iran iko tayari kuvisaidia vikosi vya Muqawama vya Palestina kwa kila hali

    Dec 12, 2017 12:48

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ametangaza kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kutoa msukumo na kuvisaidia kwa kila hali vikosi vya Muqawama wa Kiislamu wa Palestina.

  • Rais Rouhani kushiriki mkutano wa dharura wa OIC, Quds ndiyo ajenda kuu

    Rais Rouhani kushiriki mkutano wa dharura wa OIC, Quds ndiyo ajenda kuu

    Dec 12, 2017 04:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo anaelekea Uturuki kwa shabaha ya kushiriki katika kikao cha dharura cha viongozi wa nchi wanachama katika Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) nchini Uturuki.

  • Trump, White House watengwa kutokana na uamuzi dhidi ya Quds

    Trump, White House watengwa kutokana na uamuzi dhidi ya Quds

    Dec 12, 2017 04:47

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebanon amesema kitendo cha Donald Trump cha kuitangaza Quds ambayo ina Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa Israel imeifanya Ikulu ya White House na rais huyo wa Marekani watengwe kimataifa.

  • Rouhani: Mataifa ya Kiislamu yatazima njama ya Marekani na Israel

    Rouhani: Mataifa ya Kiislamu yatazima njama ya Marekani na Israel

    Dec 11, 2017 23:30

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema umoja, muqawama na mapambano ya Wapalestina na nchi nyingine za Kiislamu bila shaka yatapelekea kusambaratika kwa njama ya Marekani na utawala wa Kizayuni ya kuitambua Quds tukufu kuwa 'mji mkuu' wa utawala haramu wa Israel.

  • Larijani: Hatua ya Trump dhidi ya Quds ni kujaribu kuficha kushindwa Marekani katika eneo hili

    Larijani: Hatua ya Trump dhidi ya Quds ni kujaribu kuficha kushindwa Marekani katika eneo hili

    Dec 11, 2017 23:07

    Mkuu wa Chombo cha Mahakama cha Iran amesema kuwa, kitendo cha rais wa Marekani, Donald Trump cha kuitangaza Quds ambayo ina Kibla cha Kwanza cha Waislamu kuwa eti ni mji mkuu wa Israel, ni kujaribu kuficha kufeli siasa za Marekani katika eneo hili.

  • Iran: Dunia imeungana kumlaani Donald Trump

    Iran: Dunia imeungana kumlaani Donald Trump

    Dec 11, 2017 11:19

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran leo amezungumza na waandishi wa habari kuhusiana na masuala mengi tofauti ikiwemo ziara ya waziri wa mambo ya nje wa Uingereza hapa mjini Tehran, suala la Quds, Yemen na masuala mengine mbalimbali.

  • Mogherini: Umoja wa Ulaya hautoitambua Quds kuwa ni mji mkuu wa Israel

    Mogherini: Umoja wa Ulaya hautoitambua Quds kuwa ni mji mkuu wa Israel

    Dec 11, 2017 11:13

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya amepinga wito wa Tel Aviv wa kuutaka umoja huo kufuata mkono wa Marekani na kuutambua mji wa Quds (Jerusalem) kuwa mji mkuu wa Israel.

  • Wananchi wa Mauritania waandamana kumlaani Donald Trump

    Wananchi wa Mauritania waandamana kumlaani Donald Trump

    Dec 11, 2017 11:02

    Wananchi wa Mauritania wameungana na Waislamu na wapenda haki katika kona zote za dunia kuendeleza maandamano ya kumlaani rais wa Marekani, Donald Trump kwa hatua yake ya kuitambua Quds kuwa mji mkuu wa utawala pandikizi wa Israel.

  • Watawala vibaraka wa Kiarabu wabanwa; wananchi wataka viongozi wapya

    Watawala vibaraka wa Kiarabu wabanwa; wananchi wataka viongozi wapya

    Dec 11, 2017 09:39

    Malalamiko na maandamano ya wananchi wa nchi za Kiarabu si tu kwamba yamewalenga Rais Donald Trump wa Marekani na Benjamin Netanyahi, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel pekee bali pia watawala vibaraka wa Kiarabu wanafanya eti mapatano ya amani na Wazayuni kwa madhara ya ulimwengu wa Kiarabu na Kiislamu.

  • Hossein Amir-Abdollahian: Iran inakitetea kibla cha kwanza cha Waislamu

    Hossein Amir-Abdollahian: Iran inakitetea kibla cha kwanza cha Waislamu

    Dec 11, 2017 04:44

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran daima imekuwa mtetezi wa haki za wananchi madhulumu wa Palestina na kibla cha kwanza cha Waislamu na itaendelea kufanya hivyo.

Onesha Zaidi
Habari Kuu
  • Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    Araghchi: Ukosefu wa usalama katika Lango Bahari la Hormuz ni matokeo ya uvamizi wa Marekani na Israel

    5 hours ago
  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Hamas: Lengo la utawala wa Israel ni kuhitimisha shughuli za UNRWA

  • Iran yatengeneza chanjo za wanyama wa majini kwa kutegemea teknolojia ya ndani

  • Umoja wa Mataifa waonya kuhusu athari za mapigano mapya Tigray, Ethiopia

Chaguo La Mhariri
  • Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    Uchambuzi wa hotuba ya Pezeshkian katika Umoja wa Mataifa: Muqawama imara na diplomasia yenye masharti

    1 day ago
  • Kwa nini fikra ya

    Kwa nini fikra ya "Ulinzi" inasalia kuwa takatifu kwa Wairani?

    1 day ago
  • Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa: Jukwaa la Iran Kudai Haki

    1 day ago
Zilizotembelewa Zaidi
  • Wizara ya Ulinzi: Miundombinu ya ulinzi ya Iran ya chini ya ardhi inavuruga mahesabu ya adui

  • Pezeshkian: Makosa yote ni ya Marekani, kabla ya vita Hormuz ilikuwa wazi

  • Baada ya kushuhudia 'maafa', wapiganaji wa RSF waamua kujiunga na upande wa jeshi la Sudan

  • EU lazima iwajibishwe kwa uvamizi wa Marekani nchini Iran

  • Vyombo vya habari vya kizayuni: Hotuba ya Netanyahu imeonyesha namna Israel ilivyotengwa kimataifa

  • Ufaransa kuipelekea Saudia msaada wa askari na mitambo ya rada na ulinzi

  • Russia yaiambia US kupitia UNGA: Mauaji ya Ayatullah Khamenei ni dhihirisho la ulazimishaji matakwa "usiokubalika"

  • Mkurugenzi wa zamani wa UN: Netanyahu na wenzake lazima watiwe mbaroni

  • Jeshi la Ethiopia: Waasi 272 wa TPLF wameuawa baada ya kushindwa jaribio lao mashambulizi

  • Bei ya dizeli yapaa tena Ulaya, yavunja rekodi ya miaka 21 iliyopita

  • Thailand yachunguza kundi la kiyahudi linalohusishwa na 'mtandao wa Israel' wa ununuzi wa ardhi

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS