-
Alkhamisi 4 Disemba, 2025
Dec 04, 2025 03:58Leo ni Alkhamisi tarehe 13 Jamadithani 1447 Hijria sawa na Disemba 4 mwaka 2025.
-
Jumatatu, Oktoba 6, 2025
Oct 06, 2025 02:20Leo ni Jumatatu tarehe 14 Mehr, 1404 Hijria Shamsia, sawa na tarehe 13 Rabiuthani, 1447 Hijria Qamaria, na inayosadifiana na Oktoba 6, 2025 Miladia.
-
Ijumaa, Septemba 5, 2025
Sep 05, 2025 02:17Leo ni Ijumaa tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1447 Hijria sawa na Septemba 5 mwaka 2025.
-
Jumanne, tarehe 8 Aprili, 2025
Apr 08, 2025 02:20Leo ni Jumanne tarehe 9 Shawwal 1446 Hijria sawa na Aprili 8 mwaka 2025.
-
Iran: Iwapo usalama wetu utahatarishwa, mchokozi hatobaki salama
Feb 21, 2025 02:27Mkuu wa Majeshi ya Iran amesema: Iwapo usalama wa taifa letu utahatarishwa, basi usalama wa eneo hili zima la Kusini Magharibi mwa Asia, wahusika wa uchokozi huo na waungaji mkono wao utavurugwa na hawatobaki salama.
-
Jumatano, tarehe 05 Februari, 2025
Feb 05, 2025 05:44Leo ni Jumatano tarehe 06 Shaabani 1446 Hijria, sawa na Februari 5 mwaka 2025.
-
Alkhamisi, tarehe 7 Novemba, 2024
Nov 07, 2024 12:30Leo ni Alkhamisi tarehe 5 Mfunguo Nane Jamadul-Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 7 Novemba 2024.
-
Wiki ya Umoja na Maulidi ya Mtume (saw)
Sep 26, 2024 12:01Kipindi cha baina ya tarehe 12 na 17 Mfunguo Sita kimetangazwa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni Wiki ya Umoja na Mshikamano baina ya Waislamu wote duniani, lengo likiwa ni kuwakusanya pamoja Waislamu wote wa madhehebu na mitazamo tofauti katika Tauhidi na umoja wa Kiislamu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kujenga umma; somo muhimu zaidi la Mtume (SAW)
Sep 21, 2024 12:42Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza juu ya nafasi ya watu maalumu katika uundaji wa Umma wa Kiislamu na umoja wa ulimwengu wa Kiislamu na kubainisha kwamba, kwa kuundwa Umma wa Kiislamu, Waislamu kwa nguvu zao za ndani wanaweza kuondoa donda la saratani na khabithi la utawala wa Kizayuni kutoka Palestina na kusambaratisha ushawishi na uingiliaji wa mabavu wa Marekani katika eneo.
-
Jumatatu tarehe 6 Mei, 2024
May 06, 2024 02:31Leo ni Jumatatu tarehe 27 Mfunguo Mosi Shawwal 1445 Hijria inayosadifiana na tarehe 6 Mei 2024.