-
Waislamu Waanza kusherehekea Maulidi ya Mtume Muhammad na Wiki ya Umoja
Oct 29, 2020 02:55Leo tarehe 12 Mfunguo Sita Rabiul Awwal kwa mujibu wa nukuu za baadhi ya wanazuoni wa Kiislamu, inasadifia na siku aliyozaliwa Mtume Muhammad (saw) na kuanza Wiki ya Umoja baina ya Waislamu.
-
Mkutano wa 34 wa kimataifa wa Umoja wa Kiislamu kufanyika Tehran
Oct 27, 2020 12:32Mkutano wa 34 wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu unatazamiwa kuanza Alhamisi katika mji mkuu wa Iran, Tehran ambapo mada kuu itakuwa 'Ushirikiano wa Kiislamu Wakati wa Maafa na Majanga'.
-
Maomblezo ya kuaga dunia Mtume (saw) na kuuawa shahidi Imam Hassan (as)
Oct 16, 2020 07:22Taifa zima la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezama katika maombolezo ya kumbukumbu ya kuaga dunia Mtume Mtukufu wa Uislamu (saw) pamoja na kuuawa shahidi Imam Hassan Mujtaba (as), Imam wa pili wa Waislamu wa madhehebu ya Shia.
-
Jumatano tarehe 12 Agosti mwaka 2020
Aug 12, 2020 02:32Leo ni Jumatano tarehe 22 Dhulhija 1441 Hijria inayosadifiana na Agosti 12 mwaka 2020.
-
Jumatano tarehe 5 Agosti mwaka 2020
Aug 05, 2020 02:37Leo ni Jumatano tarehe 15 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Agosti 5 mwaka 2020.
-
Ijumaa, Julai 17, 2020
Jul 17, 2020 02:34Leo ni Ijumaa tarehe 25 Dhulqaada 1441 Hijria sawa na 17 Julai mwaka 2020.
-
Alkhamisi tarehe 27 Februari 2020
Feb 27, 2020 02:24Leo ni Alkhamisi tarehe 3 Rajab 1441 Hijria inayosadifiana na Februari 27 mwaka 2020.
-
Hadhrat Fatima (as) katika Suratul Kauthar
Jan 13, 2020 14:23Kwa mujibu wa baadhi ya nukuu za historia, Bibi Fatma Zahra binti wa Mtume Muhammad SAW alikufa shahidi tarehe 13 Jamadil Awwal baada ya kuishi maisha mafupi lakini yaliyojaa baraka tele.
-
Maana ya "kufutwa Israel" katika mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Nov 15, 2019 13:11Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa sababu ya masaibu ya sasa ya Ulimwengu wa Kiislamu hususan hali ya kusikitisha ya Palestina ni udhaifu wa Umoja wa Waislamu.
-
Ayatullah Araki: Ushindi wa kambi ya Muqawama umewafanya matakfiri watengwe
Nov 14, 2019 11:19Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, kupanuka zaidi ujumbe wa umoja na mshikamano katika Ulimwengu wa Kiislamu na kutengwa mrengo wa mawahabi na matakfiri ni miongoni mwa athari nzuri za ushindi wa kambi ya muqawama na mapambano dhidi ya ubeberu.