Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Wamarekani wahofia kutokea mashambulizi ya kigaidi wakati wa uchaguzi

    Wamarekani wahofia kutokea mashambulizi ya kigaidi wakati wa uchaguzi

    Nov 05, 2016 11:38

    Viongozi wa serikali ya Marekani wameonya juu ya uwezekano wa kutokea mashambulizi ya kigaidi siku ya uchaguzi wa rais na kuwataka wananchi wajiandae kwa hilo.

  • Kenya yatahadharisha  madola ya kigeni kuhusu kufadhili vyama vya upinzani

    Kenya yatahadharisha madola ya kigeni kuhusu kufadhili vyama vya upinzani

    Oct 23, 2016 11:25

    Spika wa Bunge la Kitaifa la Kenya Justin Muturi ametahadharisha kuhusu mpango wa baadhi ya madola ya kigeni kufadhili kampeni za vyama vya upinzani kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2017.

  • Viongozi wa Kikristo DRC hawataki kuakhirishwa uchaguzi

    Viongozi wa Kikristo DRC hawataki kuakhirishwa uchaguzi

    Oct 22, 2016 00:59

    Maaskofu wa Kanisa Katoliki katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wametofautiana na uamuzi wa hivi karibuni uliofikiwa na chama tawala pamoja na vyama kadhaa vya upinzani, wa kuakhihirisha uchaguzi mkuu kutoka mwezi ujao hadi Aprili mwaka 2018.

  • Mdahalo wa mwisho wa Trump na Clinton, mbio za uchaguzi wa rais Marekani

    Mdahalo wa mwisho wa Trump na Clinton, mbio za uchaguzi wa rais Marekani

    Oct 20, 2016 23:02

    Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa televisheni wa wagombea uchaguzi wa rais Marekani kwa mara nyingine tena umegubikwa na utata huku mada kuu zikiwa ni kufichuliwa nyaraka za WikiLeaks zinazomhusu mgombea wa chama cha Democrat Hillary Clinton, wahamiaji, sera za kigeni na kashfa za kimaadli za Donald Trump, mgombea wa chama cha Republican.

  • Kiongozi: Ni marufuku kwa Serikali, Bunge, Mahakama, vikosi vya ulinzi, kuingilia uchaguzi Iran

    Kiongozi: Ni marufuku kwa Serikali, Bunge, Mahakama, vikosi vya ulinzi, kuingilia uchaguzi Iran

    Oct 15, 2016 12:28

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametumia haki yake aliyopewa na kifungu nambari 110 cha Katiba, kuwasilisha siasa kuu za uchaguzi baada ya kushauriana na Halmashauri ya Kuainisha Maslahi Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Rais Kabila: Uchaguzi utafanyika mwaka 2018

    Rais Kabila: Uchaguzi utafanyika mwaka 2018

    Oct 06, 2016 01:11

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesisitiza kuwa uchaguzi nchini humo utafanyika mwaka 2018.

  • Wamarekani wengi wahofia wizi wa kura katika uchaguzi wa rais

    Wamarekani wengi wahofia wizi wa kura katika uchaguzi wa rais

    Oct 03, 2016 00:31

    Wamarekani waliowengi wana hofu kuwa kutajiri wizi wa kura katika uchaguzi wa rais unaotazamiwa kufanyika tarehe 8 mwezi ujao wa Novemba.

  • Tume: Yumkini uchaguzi mkuu usifanyike mwezi ujao DRC

    Tume: Yumkini uchaguzi mkuu usifanyike mwezi ujao DRC

    Oct 02, 2016 04:46

    Tume ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema huenda uchaguzi mkuu usifanyike nchini humo mwezi ujao wa Novemba kama ilivyotarajiwa kutokana na sababu za kilojistiki.

  • Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia waakhirishwa tena

    Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia waakhirishwa tena

    Sep 26, 2016 10:43

    Uchaguzi wa Bunge nchini Somalia uliopangwa kufanyika kuanzia tarehe 24 mwezi huu hadi tarehe 10 ya mwezi ujao wa Oktoba umeakhirishwa.

  • Mahakama ya Katiba ya Gabon yaaidhinisha matokeo ya uchaguzi

    Mahakama ya Katiba ya Gabon yaaidhinisha matokeo ya uchaguzi

    Sep 25, 2016 04:45

    Mahakama ya Katiba ya Gabon imeidhinisha matokeo ya uchaguzi wa rais wa hivi karibuni.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS