Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

2017 Uchaguzi

  • Hali bado tete Gabon; Mahakama ya Katiba kutoa uamuzi wa shtaka la Jean Ping

    Hali bado tete Gabon; Mahakama ya Katiba kutoa uamuzi wa shtaka la Jean Ping

    Sep 23, 2016 04:27

    Machafuko yanaendelea kushuhudiwa nchini Gabon huku Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo leo ikitarajiwa kutangaza uamuzi wake kuhusiana na matokeo ya uchaguzi.

  • Iran yatangaza tarehe ya uchaguzi wa Rais

    Iran yatangaza tarehe ya uchaguzi wa Rais

    Sep 14, 2016 23:58

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uchaguzi ujao wa Rais nchini utafanyika tarehe 18 Mei mwakani.

  • Ping ataka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu machafuko ya uchaguzi Gabon

    Ping ataka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu machafuko ya uchaguzi Gabon

    Sep 09, 2016 23:41

    Jean Ping mgombea wa kiti cha Urais nchini Gabon aliyeshindwa na Rais Ali Bongo katika uchaguzi wa mwezi uliopita ametoa Mwito wa kufanyika uchunguzi wa kimataifa kuhusiana machafuko yaliyotokea baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi huo.

  • Mahakama ya Katiba ya Zambia yatupilia mbali madai ya kupinga ushindi wa Rais Lungu

    Mahakama ya Katiba ya Zambia yatupilia mbali madai ya kupinga ushindi wa Rais Lungu

    Sep 05, 2016 22:37

    Mahakama ya Katiba nchini Zambia imetupilia mbali madai ya mrengo wa upinzani ya kupinga ushindi wa Rais Edgar Lungu kufuatia uchaguzi wa tarehe 11 mwezi uliopita.

  • Wanajeshi wanalinda doria Gabon kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi

    Wanajeshi wanalinda doria Gabon kufuatia ghasia za baada ya uchaguzi

    Sep 02, 2016 11:24

    Wanajeshi wanalinda doria katika mji mkuu wa Gabon, Libreville baada ya siku mbili za machafuko baada ya wapinzani kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais.

  • Wagabon wanaoishi Ufaransa waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi

    Wagabon wanaoishi Ufaransa waandamana kupinga matokeo ya uchaguzi

    Sep 02, 2016 03:37

    Raia wa Gabon wanaoishi nchini Ufaransa wameandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa Rais nchini kwao yaliyomrejesha tena madarakani Rais Ali Bongo.

  • Kuidhinishwa matokeo rasmi ya uchaguzi wa Rais nchini Gabon

    Kuidhinishwa matokeo rasmi ya uchaguzi wa Rais nchini Gabon

    Sep 01, 2016 05:21

    Kamisheni ya Uchaguzi nchini Gabon imemtangaza Rais Ali Bongo kuwa mshindi wa uchaguzi wa Rais uliofanyika tarehe 27 mwezi uliopita na hivyo ataiongoza nchi hiyo ya Kiafrika kwa kipindi kingine cha miaka saba.

  • Kuanza uchaguzi wa rais nchini Gabon

    Kuanza uchaguzi wa rais nchini Gabon

    Aug 27, 2016 09:20

    Watu laki sita na elfu ishirini na nane waliotimiza masharti ya kupiga kura leo Jumamosi wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura huko Gabon kwa ajili ya kumchagua rais mpya wa nchi hiyo.

  • AU; Uchaguzi Somalia lazima ufanyike kama ilivyopangwa

    AU; Uchaguzi Somalia lazima ufanyike kama ilivyopangwa

    Aug 18, 2016 09:47

    Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Afrika nchini Somalia amesiistiza juu ya azma ya umoja huo ya kuhakikisha kuwa uchaguzi wa Rais na Bunge huko Somalia unafanyika kama ilivyoainishwa.

  • Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata

    Dunia yampongeza Rais wa Zambia licha ya uchaguzi tata

    Aug 18, 2016 09:31

    Ban Ki-moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ni miongoni mwa shakhsia na viongozi wa kwanza wa dunia kumpongeza Edgar Lungu kwa kushinda uchaguzi wa rais uliogubikwa na utata na ambao upinzani umeelekea mahakamani kupinga matokeo yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS