-
Kuanza duru mpya katika historia ya kisiasa ya Afghanistan
Aug 17, 2021 06:33Baada ya wanamgambo wa Taliban kudhibiti mji mmoja baada ya mwingine na hatimaye kuudhibiti mji mkuu Kabul baada ya Rais Muhammad Ashraf Ghani kuikimbia nchi, sasa kumeanza duru mpya katika historia ya kisiasa ya nchi hiyo.
-
Khatibzadeh: Iran itatumia uwezo wake kuleta maelewano Afghanistan
Aug 16, 2021 23:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatumia uwezo wake wote kwa ajili ya kuhimiza mazungumzo na maelewano nchini Afghanistan.
-
Umoja wa Ulaya waendelea kuingilia masuala ya ndani ya Afghanistan
Aug 16, 2021 22:04Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ameingilia tena masuala ya ndani ya Afghanistan sambamba na kufumbia jicho jinai zilizofanywa na Marekani na waitifaki wake wa Ulaya nchini Afghanistan.
-
Taliban: Tutaunda utawala wa Kiislamu utakaoshirikisha Waafghani wengine pia
Aug 16, 2021 08:42Msemaji wa kundi la Taliban ametaka iundwe serikali ya Kiislamu nchini Afghanista inayoendana na mazingira itakayojumuisha na Waafghani wengine pia.
-
Rais Raisi: Iran inafanya jithada ili kurejesha utulivu Afghanistan
Aug 16, 2021 07:28Rais Ebrahim Raisi amesema, Iran itafanya jitihada kurejesha utulivu na uthabiti nchini Afghanistan ambalo ndilo hitajio la kwanza la nchi hiyo kwa sasa.
-
Iran yatangaza uungaji mkono wake kwa taifa la Afghanistan
Aug 16, 2021 03:17Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu kama ilivyofanya katika kipindi cha miaka 40 iliyopita, vivyo hivyo itaendelea kuwaunga mkono wananchi wa Afghanistan na matakwa yao.
-
Zarif: Iran itaendeleza jitihada za kusaidia kupatikana amani Afghanistan
Aug 15, 2021 23:05Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itaendeleza jitihada za kuhakikisha kuwa amani na maridhiano yanapatikana nchini Afghanistan.
-
Johnson akosoa uamuzi wa Marekani kuhusu Afghanistan
Aug 15, 2021 05:31Sambamba na kundi la Taliban kuendelea kuteka maeneo zaidi huko Afghanistan na kuongezeka wasiwasi kuhusu mustakbali wa nchi hiyo, Boris Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza alisema Ijumaa kwamba hali ya Afghanistan ni mbaya mno na kwamba inatokana na uamuzi wa Rais Joe Biden wa kuondoa askari wa Marekani nchini humo.
-
NATO: Ikiwa Taliban itaidhibiti Afghanistan kwa njia ya kijeshi haitatambuliwa kimataifa
Aug 14, 2021 03:14Katibu Mkuu wa shirika la kijeshi la NATO ametangaza kuwa, ikiwa kundi la Taliban litaidhibiti Afghanistan yote kupitia mashambulio yake ya kijeshi halitatambuliwa kimataifa.
-
Kamanda Salami: Mipaka ya Iran ina usalama na ulinzi wa kutosha
Aug 13, 2021 08:39Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amelithibitishia taifa la Iran kuwa mipaka ya mashariki ya nchi hii ipo salama.