-
Marekani yapanua uwepo wake wa kijeshi barani Afrika
Apr 25, 2018 01:08Marekani imetangaza kuwa inajenga kituo cha ndege zisizo na rubani (drone) za kijeshi nchini Niger kwa shabaha eti ya kukabiliana na makundi ya kigaidi.
-
Ripoti: Wahajiri wa Kiafrika walioko US wamesoma kuliko Wamarekani wenyewe
Apr 24, 2018 22:01Utafiti uliofanywa na Kituo cha Utafiti cha Pew umeonyesha kuwa, kuna mwanya mkubwa wa kiwango cha elimu kati ya wahajiri wa Kiafrika wanaoishi Marekani na raia wa asili wa nchi hiyo.
-
Marekani inaendelea kuongeza wanajeshi wake barani Afrika
Apr 23, 2018 22:47Jeshi la Marekani linajenga kituo cha ndege za kivita zisizo na rubani nchini Niger kwa lengo la kukabiliana na kile wakuu wa Washington wanadai ni 'makundi ya kigaidi' barani Afrika.
-
Kubadilishwa jina la Swaziland, sasa yaitwa eSwatini
Apr 21, 2018 02:44Mfalme wa Swaziland amebadili jina la nchi hiyo na kuwa eSwatini kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 50 wa kukomeshwa ukoloni wa Uingereza nchini humo.
-
Uchumi wa Afrika Kusini mwa Sahara kustawi kwa asilimia 3.1 mwaka 2018
Apr 20, 2018 02:56Benki ya Dunia imepandisha makadirio yake kuhusu ustawi wa uchumi wa Afrika kuwa asilimia 3.1 mwaka 2018, baada ya uchumi wa kanda hiyo kudidimia kwa miaka mitatu kutokana na kushuka kwa bei za bidhaa kimataifa.
-
HRW: Mamluki wa Imarati wanawabaka wahajiri wa Kiafrika Yemen
Apr 18, 2018 03:08Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema mamluki wanaofadhiliwa na kuungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen wanawabaka na kuwalawiti wahajiri wa kike na kiume raia wa Afrika katika nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
Wanariadha 13 wa Afrika 'watoweka' Australia
Apr 12, 2018 10:23Wanariadha 13 wa Afrika walioenda kushiriki Michezo ya Jumuiya ya Madola nchini Australia wametoweka katika mazingira ya kutatanisha.
-
Trump aelekeza vita vya kibiashara Afrika, Rwanda yajibu mapigo
Apr 12, 2018 10:18Baada ya kuanzisha vita vya kibiashara dhidi ya nchi za Asia na Ulaya na kupata jibu kali, sasa Rais wa Marekani Donald Trump anaonekena kueelekeza vita hivyo kwa nchi za Afrika.
-
Zarif aanza safari ya kuzitembelea nchi za Afrika, Amerika ya Latini
Apr 08, 2018 03:22Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran leo Jumapili ameanza safari ya kuzitembelea nchi kadhaa za Kiafrika na Amerika ya Latini.
-
Netanyahu afuta makubaliano na UN kuhusu wahajiri wa Kiafrika
Apr 03, 2018 21:59Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amebatilisha makubaliano kati ya Tel Aviv na Umoja wa Mataifa, kuhusu kupelekwa katika nchi za Magharibi wahajiri wa Kiafrika wanaoishi katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.