Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Afrika

  • Ulimwengu wa Spoti, Nov 13

    Ulimwengu wa Spoti, Nov 13

    Nov 13, 2017 04:01

    Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na hususan ashiki wa spoti na karibu tutupie jicho matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa vya habari ndani na nje ya nchi katika kipindi cha siku saba zilizopita, karibu..

  • Ombi la kutaka Afrika itengewe viti viwili vya kudumu katika Baraza la Usalama

    Ombi la kutaka Afrika itengewe viti viwili vya kudumu katika Baraza la Usalama

    Nov 12, 2017 09:45

    Mwakilishi wa Algeria katika Umoja wa Mataifa, ametoa mwito wa kufanyika marekebisho katika muundo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutengewa Afrika viti viwili vya kudumu kkatika baraza hilo.

  • Marekani yakosolewa kwa kuzidi kujikita kijeshi barani Afrika

    Marekani yakosolewa kwa kuzidi kujikita kijeshi barani Afrika

    Nov 05, 2017 04:37

    Kundi linalopinga vita liitwalo "Kituo cha Uchukuaji Hatua Kimataifa" limetangaza kuwa kuongezeka harakati na uwepo wa kijeshi wa Marekani katika bara la Afrika hakuna uhusiano wowote na mapambano dhidi ya ugaidi.

  • RSF: Waandishi habari wanakandamizwa katika nchi za Afrika

    RSF: Waandishi habari wanakandamizwa katika nchi za Afrika

    Nov 02, 2017 14:09

    Shirika la Maripota Wasio na Mpaka (RSF) limetahadharisha kuhusu hali ya mbaya ya waandishi habari katika baadhi ya nchi za Afrika.

  • Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika kuanza leo Tehran

    Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika kuanza leo Tehran

    Oct 28, 2017 23:35

    Kongamano la kiuchumi na uwekezaji baina ya Iran na Afrika linafanyika leo mjini Tehran huku zaidi ya washiriki 600 wakitazamiwa kuhudhuria kutoka sekta binafsi za pande mbili. Aidha maafisa wa serikali za Afrika na Iran watahudhuria kongamano hilo.

  • Safari ya balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa barani Afrika

    Safari ya balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa barani Afrika

    Oct 24, 2017 11:44

    Nikki Haley, balozi na mwakilishi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa anafanya safari barani Afrika akiwa mjumbe maalumu wa Rais Donald Trump anayeuongoza ujumbe wa nchi yake

  • Dunford: Marekani imeazimia kujiimarisha zaidi kijeshi barani Afrika

    Dunford: Marekani imeazimia kujiimarisha zaidi kijeshi barani Afrika

    Oct 24, 2017 04:03

    Mkuu wa Jeshi la Marekani amesema kuwa, nchi yake ina nia ya kujiimarisha kabisa kijeshi barani Afrika.

  • UNICEF yatahadharisha kuhusu kuendelea ndoa za watoto wadogo barani Afrika

    UNICEF yatahadharisha kuhusu kuendelea ndoa za watoto wadogo barani Afrika

    Oct 24, 2017 04:01

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limetahadharisha kuhusu madhara ya kuendelea kuozeshwa watoto wadogo barani Afrika.

  • Sisitizo la kuimarishwa kikosi cha kijeshi cha kundi la 5 la nchi za Sahel kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Sisitizo la kuimarishwa kikosi cha kijeshi cha kundi la 5 la nchi za Sahel kwa ajili ya kupambana na ugaidi

    Oct 24, 2017 01:03

    Nchi wanachama wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa zimesisitiza kuimarishwa zaidii kikosi cha wanajeshi wa nchi tano za eneo la Sahel barani Afrika kwa jina la G-5 ili kutekeleza oparesheni za kupambana na ugaidi katika eneo hilo.

  • Ulimwengu wa Spoti, Okt 23

    Ulimwengu wa Spoti, Okt 23

    Oct 23, 2017 04:39

    Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tutupie jicho matukio kadhaa muhimu yaliyotawala uga wa spoti kitaifa na kimataifa, ndani ya siku saba zilizopita. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS