-
Zuma ampiga kalamu nyekundu Waziri wa Fedha wa Afrika Kusini
Mar 30, 2017 23:51Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amempiga kalamu nyekundu Waziri wa Fedha wa nchi hiyo, Pravin Jamnadas Gordhan.
-
Afrika Kusini yapania kuiuzia Iran mfumo wa makombora
Mar 20, 2017 03:58Mtandao wa habari wa mybroadband umeripoti kuwa Afrika Kusini inataka kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa makombora ya ardhini hadi angani.
-
Afrika Kusini yaunga mkono mpango wa kuasisiwa nchi huru ya Palestina
Mar 17, 2017 13:08Afrika Kusini imesisitiza kuwa inaunga mkono suala la kuasisiwa nchi huru ya Palestina ili kuhitimisha mzozo wa Mashariki ya Kati.
-
ANC yaahidi kutokomeza ufisadi Afrika Kusini
Mar 12, 2017 10:13Chama tawala cha Afrika Kusini, ANC, kimesema, kinapaswa kumaliza ufisadi na kukomesha mifarakano baina ya wanachama sambamba na kutekeleza ahadi za kuangamiza umaskini iwapo kinataka kusitisha mkondo wa sasa wa kupoteza umashuhuri.
-
Afrika Kusini yarejea nyuma katika azma yake ya kujiondoa mahakama ya ICC
Mar 09, 2017 04:38Serikali ya Afrika Kusini imetangaza rasmi kuachana na azma yake ya awali ya kutaka kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Afrika Kusini yatakiwa ifike ICC kujieleza kwa kutomkamata rais Bashir wa Sudan
Mar 08, 2017 12:24Afrika Kusini imetakiwa kufika katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC mwezi Aprili kujieleza baada ya kukataa kumkamata Rais Omar al Bashir wa Sudan alipotembelea nchi hiyo miaka miwili iliyopita.
-
Zuma: Afrika Kusini itaruhusu utaifishaji wa ardhi bila ya fidia
Feb 24, 2017 10:48Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amesema leo kuwa nchi hiyo itazifanyia marekebisho sheria zake ili kuruhusu utaifishaji wa ardhi bila ya kuwalipa fidia wamiliki wa ardhi hizo, katika kipindi hiki ambapo nchi hiyo inajaribu kuharakisha zoezi la kuwagawia tena ardhi raia weusi walio wengi wa nchi hiyo.
-
Waafrika Kusini watakiwa kukomesha mashambulizi dhidi ya wageni
Feb 23, 2017 23:37Waziri wa Mambo ya Ndani wa Afrika Kusini amewataka wananchi wa nchi hiyo kuwa watulivu kufuatia ghasia na machafuko yanayowalenga wahajiri na raia wa nchi za kigeni nchini humo.
-
Mahakama Kuu Afrika Kusini yazuia serikali kujiondoa mahakama ya ICC
Feb 22, 2017 12:38Mahakama Kuu ya Afrika Kusini imezuia zoezi la serikali ya nchi hiyo la kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Zuma: Afrika Kusini itaendelea kuwaunga mkono watu wa Palestina
Feb 10, 2017 21:56Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amezihimiza nchi zote duniani ziendelee kuwaunga mkono na kuwatetea watu wanaokandamizwa wa Palestina.