Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

afya

  • Afrika Kusini yasajili kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Monkeypox

    Afrika Kusini yasajili kesi ya kwanza ya ugonjwa wa Monkeypox

    Jun 24, 2022 01:16

    Afrika Kusini imeripoti kesi ya kwanza iliyothibitishwa ya ugonjwa wa virusi wa Monkeypox.

  • Nchi 8 za Afrika miongoni mwa 39 duniani zilizoripoti Monkeypox

    Nchi 8 za Afrika miongoni mwa 39 duniani zilizoripoti Monkeypox

    Jun 20, 2022 04:21

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema nchi 8 za Afrika ni miongoni mwa nchi 39 duniani zilizoripoti kesi zilizothibitishwa za ugonjwa wa Monkeypox.

  • Mripuko wa kipindupindu waikumba Cameroon, kesi 6,000 zaripotiwa

    Mripuko wa kipindupindu waikumba Cameroon, kesi 6,000 zaripotiwa

    Apr 02, 2022 12:57

    Watu wasiopungua 100 wamepoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa kipindupindu nchini Cameroon, huku wengine 6,000 wakikumbwa na ugonjwa huo.

  • Ershadi: Vikwazo vinatishia haki ya tiba ya wananchi wa Iran

    Ershadi: Vikwazo vinatishia haki ya tiba ya wananchi wa Iran

    Mar 30, 2022 06:46

    Balozi na Naibu Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikwazo vya upande mmoja vya Marekani ni tishio kubwa kwa haki ya kupata huduma za afya, matibabu na dawa wananchi wa Iran.

  • Malawi yaripoti mripuko wa polio, kesi ya kwanza Afrika baada ya miaka 5

    Malawi yaripoti mripuko wa polio, kesi ya kwanza Afrika baada ya miaka 5

    Feb 19, 2022 02:55

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza habari ya kuibuka mripuko wa ugonjwa wa kupooza (polio) nchini Malawi, hii ikiwa ni kesi ya kwanza ya virusi vya polio ya msitu kuripotiwa barani Afrika baada ya kupita zaidi ya miaka mitano.

  • Nigeria yasajili vifo 59 vya homa ya Lassa tokea Januari 3

    Nigeria yasajili vifo 59 vya homa ya Lassa tokea Januari 3

    Feb 18, 2022 03:08

    Watu wasiopungua 59 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na mripuko mpya wa homa ya Lassa katika sehemu mbalimbali za Nigeria tokea Januari 3 mwaka huu hadi sasa.

  • Mripuko wa ugonjwa wa surua waua watoto 74 Afghanistan

    Mripuko wa ugonjwa wa surua waua watoto 74 Afghanistan

    Feb 07, 2022 02:52

    Mripuko wa ugonjwa wa surua (measles) umeua makumi ya watoto kaskazini mwa Afghanistan.

  • Mlipuko wa kipindupindu umeua maelfu ya watu Nigeria

    Mlipuko wa kipindupindu umeua maelfu ya watu Nigeria

    Jan 15, 2022 00:48

    Mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu uliua maelfu ya watu nchini Nigeria katika kipindi cha miezi 12 iliyopita.

  • Zimbabwe yaathiriwa na wimbi la kuhajiri wafanyakazi wa sekta ya afya

    Zimbabwe yaathiriwa na wimbi la kuhajiri wafanyakazi wa sekta ya afya

    Dec 17, 2021 03:04

    Zimbabwe imeathiriwa na wimbi kubwa la wafanyakazi wake wa sekta ya afya kuhajiri na kwenda nchi za nje kutafuta kazi wakati huu ambapo nchi hiyo inasumbuliwa pakubwa na maambukizi ya VOVID-19. Hadi sasa zaidi ya wafanyakazi wa sekta ya afya 2,200 wameondoka Zimbabwe na kuelekea Marekani, Uingereza, Australia na katika mataifa jirani kwa ajili ya kusaka ajira.

  • WHO: Corona imechangia kuongezeka vifo vya malaria duniani

    WHO: Corona imechangia kuongezeka vifo vya malaria duniani

    Dec 08, 2021 02:34

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema kuvurugika utoaji wa huduma za afya kutokana na janga la Corona kulipelekea kuongezeka vifo vya wagonjwa wa malaria duniani mwaka jana 2020.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS