-
Mamilioni ya wafuasi wa Ahlul-Bayt (as) washiriki maombolezo ya Ashura
Jul 16, 2024 11:37Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki katika maombolezo ya kumbukumbu ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (a.s).
-
Jumanne, tarehe 16 Julai, 2024
Jul 16, 2024 02:51Jumanne tarehe 10 Muharram 1446 Hijria, sawa na Julai 16 mwaka 2024.
-
Mahakama ya Nigeria yatoa hukumu dhidi ya Polisi kwa kushambulia matembezi ya Ashura
May 01, 2024 10:53Mahakama Kuu ya Shirikisho ya Nigeria katika Jimbo la Kaduna imetoa hukumu dhidi ya Polisi ya nchi hiyo kwa kushambulia waumini katika matembezi ya amani ya Siku ya Ashura yaliyofanyika katika mji wa Zaria.
-
Mamilioni ya wafuasi wa Ahlulbait washiriki maombolezo ya Imam Hussein (AS) Siku ya Ashura
Jul 28, 2023 14:45Mamilioni ya Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo wameshiriki shughuli ya siku ya Ashura ya kukumbuka siku ya kuuliwa shahidi mjukuu wa Mtume Muhammad (SAW), Imam Hussein bin Ali bin Abi Twalib (AS).
-
Waislamu Uganda wafanya matembezi kuadhimisha Ashura ya Imam Hussein AS
Jul 28, 2023 12:21Waislamu wa medhehebu ya Shia na wapenzi wa Imam Hussein AS huko Uganda wamefanya matembezi ya amani mashariki mwa nchi hiyo, kwa mnasaba wa maombolezo ya Ashura ya Bwana huyo wa Mashahidi.
-
Nasrullah: Wimbi la Muqawama katika eneo lingali liko hai
Jul 28, 2023 08:06Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema katika hotuba aliyotoa usiku wa Ashura ya Imamu Hussein mjini Beirut kuwa: Tajiriba ya Muqawama nchini Lebanon imeonyesha kuwa wimbi la muqawama katika eneo lingali liko hai.
-
Maombolezo ya Ashura ya Imamu Hussein AS yaanza kote nchini Iran
Jul 28, 2023 07:46Maombolezo ya Ashura ya Bwana wa Mashahidi, Imamu Hussein AS yameanza kote nchini katika Iran ya Kiislamu.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran: Muqawama wa Palestina na Yemen ni muendelezo wa mapambano ya Ashura
Sep 16, 2022 13:08Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesisitiza kuwa, muqawama wa Palestina na Yemen ni muendeleza wa mapambano ya Ashura katika jangwa la Karbala mwaka 61 Hijria.
-
Nukta nne muhimu za hotuba ya Ashura ya Katibu Mkuu wa Ansarullah ya Yemen
Aug 09, 2022 09:07Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amehutubia kwa mnasaba wa maadhimino ya Siku ya Ashura, hotuba ambayo ina ndani yake nukta nne muhimu za kutafakariwa.
-
Mamilioni ya Wairani katika maombolezo ya Imam Hussein AS ya Siku ya Ashura
Aug 08, 2022 11:49Mamilioni ya wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo wameshiriki kwenye vikao vya maombolezo ya kukumbuka dhulma waliotendewa mashahidi wa Karbala katika Siku ya Ashura.