Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ban Ki moon

  • Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda

    Apr 08, 2016 03:30

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema siku ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya Rwanda hapo mwaka 1994 ni siku ya kutoa heshima kwa wahanga wa mauaji hayo na kuzidisha upendo kwa ajili ya kuimarisha uadilifu kote duniani.

  • Katibu MKuu wa UN: Mgogoro wa Syria hautatuki kwa mtutu wa bunduki

    Katibu MKuu wa UN: Mgogoro wa Syria hautatuki kwa mtutu wa bunduki

    Apr 02, 2016 22:26

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kwa kutumia nguvu za kijeshi.

  • Ban apongeza kuingia Tripoli Baraza la Urais la Libya

    Ban apongeza kuingia Tripoli Baraza la Urais la Libya

    Apr 01, 2016 02:44

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amekaribisha kuwasili kwa Baraza la Urais la Libya mjini Tripoli mnamo Machi 30, 2016, akitaja kuwasili huko kama hatua muhimu katika kutekeleza makubaliano ya kisiasa ya Libya.

  • Katibu Mkuu wa UN ashtushwa na madai mapya ya unyanyasaji wa kingono Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Katibu Mkuu wa UN ashtushwa na madai mapya ya unyanyasaji wa kingono Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Mar 31, 2016 23:48

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesema ameshtushwa na ripoti za matukio mapya ya kashfa za unyanyasaji wa kingono uliofanywa na askari wa kulinda amani wa umoja huo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la ubaguzi duniani

    Wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la ubaguzi duniani

    Mar 18, 2016 23:26

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amebainisha wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la ubaguzi na ghasia inayohusiana na chuki za kibaguzi duniani kote.

  • Morocco yaendelea kulalamika dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Morocco yaendelea kulalamika dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

    Mar 18, 2016 13:09

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Morocco Salahuddin Mizwar, amesema nchi yake ina hitilafu na malalamiko dhidi ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa binafsi.

  • Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa

    Shambulizi dhidi ya msikiti Nigeria laendelea kulaaniwa

    Mar 18, 2016 11:12

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani vikali shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti nchini Nigeria na kuua watu 25.

  • Ban alaani jinai mpya za Saudia nchini Yemen

    Ban alaani jinai mpya za Saudia nchini Yemen

    Mar 17, 2016 05:54

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani jinai mpya zilizofanywa na utawala wa Saudi Arabia baada ya kushambulia soko la Khamis katika mkoa wa Hajjah huku kaskazini magharibi mwa Yemen.

  • Ban ataka askari waliobaka wanawake waadhibiwe

    Ban ataka askari waliobaka wanawake waadhibiwe

    Mar 10, 2016 22:13

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuchukuliwa hatua kali dhidi ya askari wa kulinda amani wa kimataifa waliohusishwa na vitendo vya kunajisi wanawake.

  • Magaidi wa ISISI wanaenea kwa kasi ya kuogofya Libya

    Magaidi wa ISISI wanaenea kwa kasi ya kuogofya Libya

    Mar 05, 2016 23:09

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon ameonya kuwa magaidi wakufurishaji wa Daesh wanaenea kwa kasi ya kuogofya nchini Libya.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS