-
UNRWA yajibu vitisho vya Israel vya kusimamisha shughuli za shirika hilo la kimataifa
Jan 27, 2025 03:48Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA) limetoa radiamali yake kwa vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kusitishwa shughuli za shirika hilo la Umoja wa Mataifa huko Baitul Muqaddas Mashariki.
-
Alkhamisi, Januari 16, 2025
Jan 15, 2025 23:05Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Rajab 1446 Hijria sawa na tarehe 16 Januari 2025.
-
Jumatano, tarehe Pili Oktoba, 2024
Oct 01, 2024 23:41Leo ni Jumatano tarehe 28 Mfunguo Sita Rabiu Awwal 1446 Hijria mwafaka na tarehe Pili Oktoba 2024.
-
Jumanne, tarehe 23 Januari, 2024
Jan 23, 2024 11:40Leo ni Jumanne tarehe 11 Rajab 1445 Hijria sawa na 23 Januari mwaka 2024.
-
Jumatatu, tarehe Pili Oktoba, 2023
Oct 01, 2023 22:57Leo ni Jumatatu tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiu Awwal 1445 Hijria mwafaka na tarehe Pili oktoba 2023.
-
OIC yatoa taarifa tena kuhusu yanayojiri Baitul Muqaddas na Msikiti Mtukufu wa Al-Aqsa
Apr 08, 2023 22:47Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC kwa mara nyingine tena imelaani sera na hatua zote zinazochukuliwa na utawala vamizi na wa Kizayuni wa Israel kwa lengo la kufuta utambulisho wa mji mtukufu wa Baitul Muqaddas na kusisitiza kuwa, Msikiti wa Al-Aqsa ni mahala pa ibada kwa Waislamu peke yao na hatua za Wazayuni maghasibu zitavuruga amani na usalama wa eneo.
-
Jumapili, tarehe Pili Oktoba, 2022
Oct 01, 2022 22:42Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 144 Hijria mwafaka na tarehe Pili Oktoba 2022 Miladia..
-
Jumatatu tarehe 11 Julai 2022
Jul 10, 2022 22:03Leo ni Jumatatu tarehe 11 Mfunguo Tatu Dhulhija 1443 Hijria ambayo inasadifiana na tarehe 11 Julai 2022.
-
Alkhamisi tarehe 17 Machi 2022
Mar 16, 2022 22:52Leo ni Alkhamisi tarehe 14 Shaaban 1443 Hijria sawa na tarehe 17 Machi 2022.
-
Jumamosi, Pili Oktoba, 2021
Oct 01, 2021 23:01Leo Jumamosi tarehe 25 Mfunguo Tano Safar 1443 Hijria ambayuo inasadifiana na tarehe Pili Oktoba 2021.