-
Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa Boko Haram wameuwa watu 15 Nigeria
Nov 01, 2018 12:50Wanamgambo wanaoshukiwa kuwa wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram wamewauwa watu wasiopungua 15 katika shambulio dhidi ya vijiji vilivyoko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo jana jioni.
-
Wakulima 12 wauawa na magaidi wa Boko Haram katika jimbo la Borno
Oct 21, 2018 04:14Kundi la kigaidi la Boko Haram limewaua wakulima wasiopungua 12 na kujeuhi makumi ya wengine, baada ya kufanya shambulio katika kitongoji kimoja katika mji wa Maiduguri ulioko katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Cameroon: Tumelishinda na kulitokomeza kundi la Boko Haram
Sep 30, 2018 10:58Rais Paul Biya wa Cameroon amesema taifa hilo limefanikiwa kuliangamiza kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram ambalo limeua maelfu ya watu na kusababisha mamilioni ya wengine kuwa wakimbizi wa ndani na nje ya nchi.
-
Kundi la Boko Haram lashambulia kambi ya jeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 28, 2018 11:05Kundi la kigaidi la Boko Haram limefanya shambulio jingine dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 14 wa Boko Haram na kuokoa raia 146 waliokuwa wametekwa nyara
Sep 25, 2018 10:41Askari wa jeshi la Nigeria wamewaua magaidi 14 wa kundi la Boko Haram katika operesheni inayolenga kutokomeza mabaki ya kundi hilo la kigaidi katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Watu 9 wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 20, 2018 22:53Kundi la kigaidi la Boko Haram limeendelea kufanya mauaji kaskazini mashariki mwa Nigeria ambapo watu 9 wanaripotiwa kuuawa kufuatia shambulio la magaidi hao.
-
Magaidi kadhaa wa Boko Haram wauliwa na jeshi la Nigeria, Borno
Sep 16, 2018 21:52Wanachama kadhaa wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram wameuawa katika operesheni iliyofanywa jana Jumapili na wanajeshi wa Nigeria katika jimbo la Borno, la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Shambulio la Boko Haram laua watu 8 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Sep 15, 2018 03:12Watu wasiopungua wanane wanaripotiwa kuuawa kaskazini mashariki mwa Nigeria baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kuvishambulia vijiji viwili.
-
Raia 21 wa Nigeria waachiliwa huru kutoka mikononi mwa kundi la Boko Haram
Sep 08, 2018 02:35Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuachiliwa huru raia 21 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Nigeria laua magaidi 14 wa kundi la Boko Haram
Sep 07, 2018 09:51Magaidi 14 wa kundi la Boko Haram wameuawa kwenye operesheni iliyofanywa na jeshi la Nigeria jana katika kijiji cha Pulka, wilaya ya Gwoza, mkoani Borno kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.