Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Askari 30 wauawa na makumi wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Askari 30 wauawa na makumi wajeruhiwa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Sep 01, 2018 21:53

    Askari 30 wa Nigeria wameuliwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wa kundi la Boko Haram dhidi ya kambi moja ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Umoja wa Mataifa walaani shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Umoja wa Mataifa walaani shambulio la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Aug 21, 2018 22:20

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amelaani shambulio la kigaidi la kundi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria ambalo lilipelekea kuuawa makumi ya raia wasio na hatia.

  • Watoto 33 wafariki katika kambi za wakimbizi wa ndani nchini Nigeria

    Watoto 33 wafariki katika kambi za wakimbizi wa ndani nchini Nigeria

    Aug 18, 2018 03:04

    Watoto wasiopungua 33 wamepoteza maisha katika kipindi cha wiki mbili kati ya tarehe 2 na 15 Agosti katika kambi moja ya wakimbizi wa ndani ya nchi (IDP) kaskazini mwa Nigeria.

  • Magaidi wa Boko Haram wahujumu msikiti na kuua watu wanane Nigeria

    Magaidi wa Boko Haram wahujumu msikiti na kuua watu wanane Nigeria

    Jul 23, 2018 22:55

    Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia msikiti na kuua watu wanane mashariki mwa Nigeria.

  • Boko Haram yaua watu 18 na kuteka nyara 10 Chad

    Boko Haram yaua watu 18 na kuteka nyara 10 Chad

    Jul 22, 2018 09:23

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeshambulia kijiji kimoja kilichoko karibu na mpaka wa Chad na Niger, ambapo watu 18 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.

  • Jeshi la Nigeria latangaza kuua magaidi 22 wa Boko Haram

    Jeshi la Nigeria latangaza kuua magaidi 22 wa Boko Haram

    Jul 16, 2018 09:51

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limeua magaidi 22 wa kundi la Boko Haram katika mapigano makali kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Askari 23 wa Nigeria watoweka baada ya shambulizi la Boko Haram

    Askari 23 wa Nigeria watoweka baada ya shambulizi la Boko Haram

    Jul 15, 2018 03:04

    Wanajeshi wasiopungua 23 wa Nigeria hawajulikani walipo baada ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kushambulia msafara wa magari ya jeshi kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Boko Haram yaendeleza ukatili, yaua askari wengine 10 Niger

    Boko Haram yaendeleza ukatili, yaua askari wengine 10 Niger

    Jul 02, 2018 03:08

    Askari kumi wa Niger wameuawa katika hujuma mpya ya Boko Haram kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka na Nigeria.

  • Magaidi wa Boko Haram waua watu 8 katika hujuma mpakani mwa Nigeria na Cameroon

    Magaidi wa Boko Haram waua watu 8 katika hujuma mpakani mwa Nigeria na Cameroon

    Jul 01, 2018 22:08

    Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wameshambulia kambi ya wakimbizi wa ndani ya nchi, IDP, katika hujuma waliyotekeleza katika eneo la mpaka wa Nigeria na Cameroon ambapo watu wasiopungua wanne wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa.

  • Waislamu 31 waliokuwa wanasherehekea Idi wauliwa na Boko Haram nchini Nigeria

    Waislamu 31 waliokuwa wanasherehekea Idi wauliwa na Boko Haram nchini Nigeria

    Jun 17, 2018 10:45

    Watu wasiopungua 31 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika miripuko ya mabomu iliyotokea usiku wa kuamkia leo kaskazini mashariki mwa Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS