-
Jeshi la Nigeria lawaokoa watu 148 waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram
Jun 05, 2018 02:37Jeshi la Nigeria limetangaza kuwakomboa watu 148, wakiwemo wanawake 58 na watoto 75, ambao walikuwa wametekwa nyara na kundi la magaidi wakufurishaji la Boko Haram.
-
UN: Itachukua miaka kadhaa kuliangamiza kikamilifu kundi la Boko Haram
May 09, 2018 21:56Mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika eneo la magharibi mwa Afrika ametangaza kuwa, licha ya kuweko mafanikio katika kupambana na kundi la kigaidi la Boko Haram, lakini itachukua miaka kadhaa ili kuliangamiza kikamilifu kundi hilo.
-
Watu 1000 waliokuwa wametekwa na Boko Haram Nigeria waokolewa
May 08, 2018 03:09Jeshi la Nigeria limesema hivi karibuni lilifanikiwa kuwaokoa mateka wapatao elfu 1 kutoka kwa kundi lenye msimamo mkali la Boko Haram katika jimbo la Borno.
-
Magaidi wa Boko Haram wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea 2013
Apr 13, 2018 09:40Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewateka watoto zaidi ya 1,000 tokea mwaka 2013.
-
Jeshi la Nigeria lawaokoa mateka 149 kutoka mikononi mwa Boko Haram
Apr 09, 2018 22:19Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limewakomboa mateka 149 kutoka mikononi mwa kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Boko Haram wafanya shambulizi kaskazini mashariki mwa Nigeria watu 18 wauawa
Apr 02, 2018 09:59Duru za habari nchini Nigeria zimeripoti kwamba, kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limefanya shambulizi katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Serikali ya Nigeria inafanya mazungumzo na Boko Haram ya uwezekano wa kusitisha mapigano
Mar 26, 2018 00:02Waziri wa Habari wa Nigeria amesema serikali inafanya mazungumzo na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kuhusu uwezekano wa kusitisha mapigano, lengo kuu likiwa ni kuhitimisha kikamilifu uadui na uhasama baina ya pande mbili.
-
Jeshi la Chad lapambana na magaidi wa Boko Haram
Mar 24, 2018 21:51Duru za kijeshi za Chad zimetangaza habari ya kutokea mapigano kati ya jeshi la nchi hiyo na magaidi wa Boko Haram katika eneo la Ziwa Chad.
-
Boko Haram yawaachia huru mabinti 100 iliowateka, yaonya
Mar 21, 2018 10:39Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limewaachia huru mabinti 100 kati ya 110 iliowateka nyara mwezi uliopita wa Februari, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Amnesty: Nigeria haikujali tahadhari kuhusu utekaji nyara Dapchi
Mar 21, 2018 01:00Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetangaza kuwa, askari usalama wa Nigeria hawakujali taarifa walizopewa zilizotahadharisha kwamba kundi la watu waliokuwa na silaha lilikuwa mbioni kuelekea katika mji ambako wasichana wasiopungua 110 wa shule walitekwa nyara mwezi uliopita wa Februari.