-
Magaidi 800 wa Boko Haram wauawa katika eneo la Ziwa Chad
Jun 10, 2022 22:04Mamia ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram wameangamizwa katika operesheni za Vikosi vya Pamoja vya Kimataifa (MNJTF) katika eneo la Ziwa Chad, magharibi mwa Afrika.
-
Wanachama 7,000 wa Boko Haram, ISWAP wajisalimisha Nigeria
Mar 23, 2022 23:01Wanachama wasiopungua 7,000 wa kundi la kigaidi la Boko Haram na wenzao wa kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP) wamejisalimisha kwa maafisa usalama katika kipindi cha wiki moja iliyopita kaskazini mwa Nigeria.
-
Gavana wa Borno Nigeria aonya kuhusu kundi la kigaidi la ISWAP
Feb 27, 2022 04:41Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
-
24 wauawa katika mapigano baina ya Boko Haram na ISWAP Nigeria
Oct 04, 2021 00:42Kundi la kigaidi la Boko Haram limeua wapiganaji 24 wa kundi hasimu la kigaidi linalojiita Dola la Kiislamu la Mkoa wa Afrika Magharibi (The Islamic State West Africa Province) kwa kifupi ISWAP, huko kaskazini mwa Nigeria.
-
Wanachama 91 wa Boko Haram wajisalimisha kwa jeshi la Nigeria
Aug 01, 2021 03:21Wanachama 91 wa kundi la kigaidi la Boko Haram wamejisalimisha kwa jeshi la Nigeria huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wanajeshi saba wa Cameroon wauawa katika shambulio la Boko Haram
Jul 24, 2021 20:49Wanajeshi wasiopungua saba wa Cameroon wameuawa baada ya wanachama wa kundi la kigaidi la Boko Haram kushambulia kambi moja ya kijeshi kaskazini mwa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Jeshi la Nigeria laangamiza magaidi 50 wa Boko Haram
Jun 03, 2021 22:15Jeshi la Nigeria limetangaza habari ya kuangamiza magaidi wasiopungua 50 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno, kaskazini mashariki mwa nchi.
-
Kuendelea harakati za magaidi nchini Nigeria; wanafunzi 200 watekwa nyara
Jun 01, 2021 21:58Makundi ya kigaidi katika eneo la Afrika Magharibi hasa nchini Nigeria yamekithirisha vitendo vya uhalifu, na katika tukio la hivi karibuni wanafunzi karibu 200 wa shule moja ya Kiislamu wametekwa nyara kati mwa Nigeria.
-
Mkuu wa genge la Boko Haram ajipiga risasi kutaka kujiua Nigeria
May 22, 2021 02:05Serikali na jeshi la Nigeria limethibitisha habari zinasosema kuwa, Abubakar Shekau, mkuu wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram amejipiga risasi begani katika jaribio la kutaka kujiua. Hii ni katika hali ambayo vyombo vingi vya habari vimeripoti kuwa, Shekau amejiua.
-
Makumi wauawa katika hujuma za wabeba silaha Nigeria
Feb 10, 2021 20:04Makumi ya watu wameuawa katika mashambulizi kadhaa ya magenge ya wabeba silaha katika wilaya tano za eneo la kaskazini magharibi mwa Nigeria.