Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika

    Saudi Arabia inaunga mkono ugaidi barani Afrika

    Nov 08, 2016 07:18

    Gazeti la Washington Post la Marekani limeandika makala kuhusu kuenea Uwahhabi nchini Nigeria na kuongeza kuwa, utawala wa Saudi Arabia unaaunga mkono viongozi wa Mawahhabi ili waweze kueneza Uwahhabi nchini humo na kote barani Afrika.

  • Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram

    Askari 14 wa Nigeria wauawa na Boko Haram

    Nov 06, 2016 07:42

    Kwa akali askari 14 wa jeshi la Nigeria wameuawa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika jimbo la Borno.

  • Magaidi wanane wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Magaidi wanane wa Boko Haram wauawa Nigeria

    Nov 02, 2016 14:26

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa limewauwa wanachama wanane wa kundi la kigaidi la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Serikali ya Nigeria yatakiwa kuongeza juhudi za kuwapokonya silaha wanamgambo

    Serikali ya Nigeria yatakiwa kuongeza juhudi za kuwapokonya silaha wanamgambo

    Oct 30, 2016 03:54

    Asasi isiyo ya kiserikali ijulikanayo kwa jina la Mercy Corps imeitaka serikali ya Nigeria kuunganisha nguvu zake na kuzitumia kwa ajili ya kuwapokonya silaha wanamgambo na kufanya juhudi za kuandaa mazingira mazuri ya kuwafanya wanamgambo hao wanaopokonywa silaha wakubalike katik ajamii.

  • Mamia ya watoto waachiwa huru kutoka korokoro za serikali, Nigeria

    Mamia ya watoto waachiwa huru kutoka korokoro za serikali, Nigeria

    Oct 29, 2016 04:47

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa mamia ya watoto wameachiwa huru kutoka kwenye korokoro za serikali ya Nigeria.

  • Boko Haram: Tuko tayari kuwaachia huru wanafunzi wengine 83

    Boko Haram: Tuko tayari kuwaachia huru wanafunzi wengine 83

    Oct 18, 2016 06:57

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeeleza juu ya utayarifu wake wa kuwaachia huru makumi ya wanafunzi wa kike waliowateka nyara zaidi ya miaka miwili iliyopita.

  • Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Indhari ya Umoja wa Mataifa kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu kaskazini mashariki mwa Nigeria

    Oct 02, 2016 07:57

    Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kwamba, iwapo nchi wafadhili hazitaisadia serikali ya Nigeria katika kuishughulikia hali mbaya ya kimaisha wanayokabiliwa nayo wakazi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo, basi ulimwengu utashuhudia mgogoro mbaya zaidi wa kibinadamu katika eneo hilo la magharibi mwa Afrika.

  • Askari wa Niger na Chad waua wanachama 123 wa Boko Haram

    Askari wa Niger na Chad waua wanachama 123 wa Boko Haram

    Oct 02, 2016 02:49

    Operesheni ya pamoja ya kijeshi ya Niger na Chad imepelekea kuuawa wanamgambo 123 wa kundi la Boko Haram.

  • UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria

    UN: Watoto 75 elfu wapo katika hatari ya kufa njaa Nigeria

    Sep 29, 2016 13:54

    Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa, maelfu ya watoto wadogo wapo katika hatari ya kupoteza maisha katika kipindi cha mwaka mmoja ujao, kutokana na njaa na utapiamlo 'uliosababishwa' na kundi la wanamgambo wa Boko Haram.

  • Vijana kadhaa wa Chad warejea nchini kutoka katika kambi za Boko Haram

    Vijana kadhaa wa Chad warejea nchini kutoka katika kambi za Boko Haram

    Sep 29, 2016 04:39

    Duru za kuaminika zimearifu habari ya kurejea nchini vijana kadhaa wa Chad kutoka katika kambi za wanamgambo wa kundi la Boko Haram huko Nigeria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS