Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Niger wafanya maandamano kulaani jinai za Boko Haram

    Niger wafanya maandamano kulaani jinai za Boko Haram

    Jun 05, 2016 09:54

    Wananchi wa mji mkuu wa Niger, wamefanya maandamano makubwa ya kutangaza uungaji mkono wao kwa wahanga wa mashambulizi ya hivi karibuni ya genge la kigaidi la Boko Haram.

  • Boko Haram yadhibiti mji wa mpaka na Niger

    Boko Haram yadhibiti mji wa mpaka na Niger

    Jun 04, 2016 03:43

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram la Nigeria limeteka na kudhibiti mji wa Bosso, ulioko kusini mashariki mwa mpaka wa Niger.

  • Jeshi la Niger laangamiza wanachama 12 wa Boko Haram

    Jeshi la Niger laangamiza wanachama 12 wa Boko Haram

    May 29, 2016 09:47

    Jeshi la Niger limetangaza kuwa limeangamiza wanachama 12 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram katika kijiji cha Bosso, kusini mashariki mwa eneo la Diffa karibu na mpaka na Nigeria.

  • Kukombolewa na jeshi la Nigeria wasichana mia moja wa shule waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram

    Kukombolewa na jeshi la Nigeria wasichana mia moja wa shule waliokuwa wakishikiliwa mateka na Boko Haram

    May 21, 2016 02:12

    Jeshi la Nigeria limefanikiwa kuwakomboa mabinti 100 wanafunzi waliokuwa wakishikiliwa mateka na kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Binti wa kwanza wa Chibok, aokolewa toka mikononi mwa Boko Haram

    Binti wa kwanza wa Chibok, aokolewa toka mikononi mwa Boko Haram

    May 19, 2016 02:44

    Mmoja wa mabinti wa shule ya wasichana ya Chibok waliotekwa nyara na kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria yapata miaka miwili iliyopita ameokolewa kutoka kwenye makucha ya magaidi hao.

  • Serikali ya Nigeria yawaonya wafanya mgomo

    Serikali ya Nigeria yawaonya wafanya mgomo

    May 18, 2016 11:10

    Serikali ya Nigeria imetoa onyo kali kwa vyama vya wafanyakazi na vya ushirika vilivyosema kuwa vitaendelea na mgomo wa nchi nzima kwa ajili ya kupigania haki zao.

  • Nigeria kutumia vinasaba vya DNA kugundua magaidi

    Nigeria kutumia vinasaba vya DNA kugundua magaidi

    May 16, 2016 23:46

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo ina mpango wa kutumia vinasaba yaani DNA kuwakamata magaidi.

  • Jeshi la Nigeria: Kundi la Boko Haram limepata pigo kubwa

    Jeshi la Nigeria: Kundi la Boko Haram limepata pigo kubwa

    May 16, 2016 11:36

    Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, limepata mafanikio makubwa katika operesheni yake ya pamoja na jeshi la Cameroon dhidi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Makumi ya watoto nchini Cameroon waokolewa kutoka mikononi mwa Boko Haram

    Makumi ya watoto nchini Cameroon waokolewa kutoka mikononi mwa Boko Haram

    May 14, 2016 23:43

    Serikali ya Cameroon imetangaza kuwa, imewakomboa makumi ya wanawake na watoto waliokuwa wakishikiliwa na kundi la kigaidi la Boko Haram.

  • Kikao cha kieneo nchini Nigeria kuhusiana na vita dhidi ya kundi la Boko Haram

    Kikao cha kieneo nchini Nigeria kuhusiana na vita dhidi ya kundi la Boko Haram

    May 14, 2016 23:22

    Kikao cha viongozi wa eneo la magharibi mwa Afrika kuhusiana na vita dhidi ya kundi la Boko Haram kilianza Jumamosi ya jana katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS