Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Boko Haram

  • Watu 23 wauawa kwa mashambulio ya kundi la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria

    Watu 23 wauawa kwa mashambulio ya kundi la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria

    Jul 28, 2019 11:59

    Watu wasiopungua 23 wameuawa kaskazini mwa Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa baada ya kundi la kigaidi la Boko Haram kufanya mashambulio katika maeneo hayo.

  • Umoja wa Mataifa: Kuna watoto 8,000 wanatumiwa na Boko Haram kama askari vitani

    Umoja wa Mataifa: Kuna watoto 8,000 wanatumiwa na Boko Haram kama askari vitani

    Jul 10, 2019 02:36

    Afisa mmoja wa Umoja wa Mataifa nchini Nigeria ametangaza kuwa, kwa uchache watoto 8,000 wanatumiwa na kundi la kigaidi la Boko Haram kama askari vitani.

  • Askari 11 wa Chad wauawa katika shambulizi la Boko Haram Ziwa Chad

    Askari 11 wa Chad wauawa katika shambulizi la Boko Haram Ziwa Chad

    Jun 24, 2019 12:42

    Kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram limeua askari 11 wa Chad, katika eneo la Ziwa Chad.

  • Magaidi waua wanajeshi 15 kaskazini mwa Nigeria

    Magaidi waua wanajeshi 15 kaskazini mwa Nigeria

    Jun 19, 2019 07:34

    Wanajeshi 15 wa Nigeria wameuawa katika shambulizi linaloaminika kutekelezwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa nchi.

  • Watu 30 wauawa katika hujuma za kigaidi wakitizama mpira Nigeria

    Watu 30 wauawa katika hujuma za kigaidi wakitizama mpira Nigeria

    Jun 17, 2019 12:36

    Watu wasipungua 30 wameuawa katika mashambulizi kaskazini mwa Nigeria katika hujuma inayoaminika kutekelezwa na magaidi wakufurishaji wa Boko Haram.

  • Magaidi wa Daesh wadai kuua makumi ya askari nchini Nigeria

    Magaidi wa Daesh wadai kuua makumi ya askari nchini Nigeria

    Jun 15, 2019 03:53

    Kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la Magharibi mwa Afrika (ISWA) limedai kwamba limeua makumi ya askari wa Nigeria huko kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Magaidi wa Boko Haram wauwa watu 26 kaskazini mwa Cameroon

    Magaidi wa Boko Haram wauwa watu 26 kaskazini mwa Cameroon

    Jun 12, 2019 07:40

    Wanajeshi wasiopungua 17 na raia tisa wameuawa katika shambulio lililofanywa na wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram huko Darak kaskazini mwa Cameroon.

  • Watu 22 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Chad

    Watu 22 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Chad

    May 22, 2019 03:34

    Watu wasiopungua 22 wameuawa na wengine 28 kujeruhiwa katika mapigano mapya ya kikabila mashariki mwa Chad.

  • Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Nigeria kuogopa mashambulizi ya Boko Haram

    Maelfu ya watu wakimbia makazi yao Nigeria kuogopa mashambulizi ya Boko Haram

    May 15, 2019 07:48

    Maelfu ya wanavijiji wamekimbia makazi yao kaskazini mashariki mwa Nigeria wakikwepa mashambulizi ya kigaidi ya Boko Haram katika mji wa Maiduguri, makao makuu ya jimbo la Borno la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

  • Wanajeshi 11 wa Nigeria wauawa na kundi la kigaidi la Boko Haram

    Wanajeshi 11 wa Nigeria wauawa na kundi la kigaidi la Boko Haram

    May 12, 2019 12:59

    Wanajeshi wasiopungua 11 wa Nigeria wameuawa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la wanamgambo wa kundi la kigaidi la Boko Haram.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS