-
UNICEF: Wapiganaji watiifu kwa serikali ya Nigeria wawaachia huru watoto 900
May 11, 2019 03:14Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto (UNICEF) limetangaza kuwa, kundi la wapiganaji wenye mfungamano na vikosi vya serikali ya Nigeria limewaachia huru mamia ya watoto waliokuwa wakitumiwa na kundi hilo katika mapambano dhidi ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.
-
Wanajeshi 30 wa Nigeria watoweka kufuatia shambulizi la Boko Haram
Apr 30, 2019 02:18Wanajeshi watano wa Nigeria wameuawa na wengine 30 kutoweka kufuatia shambulizi lililofanywa na magaidi wa Boko Haram katika kambi ya wanajeshi hao.
-
Watu 11 wauawa katika shambulio la Boko Haram kaskazini mwa Cameroon
Apr 19, 2019 23:52Watu wasiopungua 11 wameuawa kaskazini mwa Cameroon kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
UNICEF: Watoto zaidi ya 3,500 wametumika vitani Nigeria tangu 2013
Apr 12, 2019 20:45Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto UNICEF limesema zaidi ya watoto 3,500 wengi wakiwa na umri wa kati ya miaka 13 hadi 17 waliingizwa na kutumiwa katika vita vinavyoendelea Kaskazini Mashariki mwa Nigeria na makundi yenye silaha yasiyo ya kiserikali
-
Watu 10 wauawa katika hujuma ya Boko Haram nchini Niger
Mar 27, 2019 11:35Watu 10 wameuawa katika shambulizi la bomu la kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram mashariki mwa Niger.
-
Magaidi 33 wa Boko Haram waangamizwa mashariki mwa Niger
Mar 13, 2019 09:40Jeshi la Niger limetangaza kuwa, limewaangamiza wanachama 33 wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika operesheni kabambe ya jeshi hilo kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 50 wa kundi la Boko Haram waangamizwa na majeshi ya nchi nne
Mar 11, 2019 04:27Jeshi la Nigeria limetangaza kwamba magaidi 50 wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram wameuawa katika operesheni za kikosi cha pamoja cha Nigeria, Chad, Cameroon na Niger.
-
Jeshi la Niger laua magaidi 38 wa Boko Haram katika mapigano makali
Mar 10, 2019 03:54Wizara ya Ulinzi wa Niger imetangaza kuwa, jeshi la nchi hiyo limewaangamiza magaidi 38 wa kundi la Boko Haram katika mapigano makali yaliyojiri kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Raia 14 wauawa katika shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram nchini Nigeria
Feb 20, 2019 23:25Raia wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Askari 7 wa Niger wauawa katika mapigano na Boko Haram
Feb 17, 2019 04:39Wanajeshi saba wa Niger wameuawa baada ya kambi yao kushambuliwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kusini mashariki mwa nchi karibu na mpaka wa Nigeria.