-
Amnesty: Boko Haram imeua watu 60 kaskazini mwa Nigeria
Feb 02, 2019 12:41Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema watu wasiopungua 60 wameua na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mashariki mwa Nigeria.
-
UN: Tishio la Boko Haram Nigeria lasababisha watu 30 elfu kutoroka nchi
Jan 29, 2019 16:11Umoja wa Mataifa umesema watu zaidi ya 30,000 wamekimbia makazi yao katika mji wa Rann kaskazini mwa Nigeria na kuingia katika nchi jirani ya Cameroon kutokana na wasiwasi wa kushambuliwa na wanachama wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram.
-
Boko Haram: Tumeua askari 30 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Jan 28, 2019 08:10Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram limedai kuwa wanachama wake wametekeleza shambulizi katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuua askari 30 wa nchi hiyo.
-
Jinai za magaidi wa Boko Haram zimeshika kasi nchini Nigeria
Jan 11, 2019 01:13Jeshi la Nigeria limetangaza kuwa, magaidi wa Boko Haram wanawalazimisha wananchi wa kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kuzihama nyumba zao.
-
Wanigeria zaidi ya elfu 30 wakimbia makazi yao kaskazini mwa nchi hiyo
Jan 10, 2019 08:11Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa makumi ya maelfu ya watu wamelazimika kukimbia nyumba na makazi yao huko kaskazini mwa Nigeria kutokana na kushadidi ghasia na mashambulizi ya kundi la kigaidi la Boko Haram.
-
Wanajeshi 14 wauawa katika shambulio la Boko Haram nchini Nigera
Dec 26, 2018 07:24Wanajeshi wasiopungua 14 wameuawa nchini Nigeria wameuawa kufuatia shambulio la kkundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Yobe kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Boko Haram wafanya shambulizi jingine mashariki mwa Nigeria
Dec 18, 2018 03:26Genge la kigaidi na la ukufurishaji la Boko Haram limevamia na kushambulia kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuchoma moto nyumba za wanakijiji baada ya kuwashambulia kwa risasi.
-
Amnesty yaitaka ICC ifanye uchunguzi kuhusu mateso yanayofanywa na Boko Haram
Dec 10, 2018 16:10Shirika la kimataifa la haki za binadamu la Amnesty International limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kufanya uchunguzi wa kina kuhusu ukandamizaji na mateso dhidi ya binadamu yanayofanywa na magaidi wa Boko Haram pamoja na jeshi la Nigeria kwenye operesheni za pande hizo mbili na kuilaumu Abuja kwa kutotekeleza ipasavyo majukumu yake katika kulinda haki za binadamu.
-
Polisi ya Nigeria yaua 'majambazi' 100 jimboni Zamfara
Dec 01, 2018 08:08Polisi ya Nigeria imedai kuwa imefanikiwa kuwaangamiza majambazi 100 katika operesheni iliyofanyika katika jimbo la Zamfara, kaskazini magharibi mwa nchi.
-
Magaidi wa Boko Haram Nigeria sasa watumia droni na wapiganaji wa kigeni
Nov 30, 2018 06:22Magaidi wakufurishaji wa kundi Boko Haram nchini Nigeria sasa wanatumia ndege zisizo na rubani au droni katika kufanya hujuma zao za kigaidi kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.