-
Spika wa Bunge Misri amfananisha Rais wa nchi hiyo na Adolf Hitler
Oct 03, 2019 04:27Spika wa Bunge la Misri amemfananisha Rais Abdel Fattah al Sisi wa nchi hiyo na dikteta wa zamani wa Ujerumani Adolf Hitler.
-
Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza yabatilisha uamuzi wa Johnson wa kusimamisha Bunge
Sep 24, 2019 10:12Mahakama ya Juu Kabisa ya Uingereza imebatilisha uamuzi uliochukuliwa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Boris Johnson wa kusimamisha vikao vya Bunge na kusisitiza kuwa hatua hiyo imechukuliwa "kinyume cha sheria, ni batili na haina athari yoyote".
-
Kushadidi makabiliano baina ya Boris Johnson na wapinzani wake kuhusiana na Brexit
Sep 03, 2019 22:08Kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya (Brexit) limegeuka na kuwa suala muhimu hivi sasa katika siasa za ndani na za nje za London.
-
Malkia wa Uingereza amfungulia njia Waziri Mkuu kujitoa katika Umoja wa Ulaya bila kufikia mwafaka
Aug 28, 2019 22:07Malkia Elizabeth wa Uingereza amelikubali ombi la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Boris Johnson la kusimamisha shughuli za bunge.
-
Bunge la Iran laipongeza IRGC kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza
Jul 21, 2019 07:48Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) imelishukuru na kulipongeza Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kwa kusimamisha meli ya mafuta ya Uingereza ya "Stena Impero" baada ya meli hiyo kujaribu kupita kwenye Lango Bahari la Hormuz bila ya kuheshimu sheria za kimataifa.
-
Bunge la Tunisia lachunguza njama ya mapinduzi nchini humo
Jul 03, 2019 08:17Spika wa Bunge la Tunisia ametangaza kuwa kumeundwa kamati ya kuchunguza njama ya kufanya mapinduzi nchini humo kufuatia hali mbaya ya kiafya ya Rais Beji Caid al Sebsi wa nchi hiyo.
-
Lissu kwenda mahakamani kupinga hatua ya kupokonywa Ubunge
Jun 28, 2019 23:31Baada ya Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai kusema Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amepoteza sifa za kuendelea kuwa mbunge, mwanasiasa huyo ambaye anaendelea kuuguza majeraha ya risasi ughaibuni amesema atakwenda mahakamani kupinga uamuzi huo.
-
Jumapili, Juni 23, 2019
Jun 22, 2019 22:29Leo ni Jumapili tarehe 19 Mfunguo Mosi Shawwal, mwaka 1440 Hijria, inayosadifiana na tarehe 23 Juni mwaka 2019 Miladia.
-
Misri yatangaza tarehe ya kura ya maoni ya kurefusha uongozi wa Sisi
Apr 17, 2019 23:16Tume ya Uchaguzi ya Misri imetangaza tarehe ya kura ya maoni yenye azma ya kuondoa kikomo cha muhula wa rais, hatua ambayo huenda ikamruhusu Rais Abdulfattah al-Sisi wa nchi hiyo kugombea zaidi ya mihula miwili inayoruhusiwa na katiba.
-
Waalgeria washadidisha maandamano baada ya kuteuliwa rais wa mpito
Apr 09, 2019 10:11Maelfu ya wananchi wa Algeria wakiwemo wanafunzi wa Vyuo Vikuu wamemiminika mabarabarani kushiriki maandamano ya kupinga kuteuliwa rais wa mpito wa nchi hiyo.