-
Watu 37 wauawa katika shambulizi dhidi ya mgodi wa dhahabu Burkina Faso
Nov 06, 2019 21:43Kwa akali watu 20 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa, baada ya watu waliobeba silaha kushambulia mgodi wa dhahabu kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Watu 16 wauawa katika shambulizi la kigaidi Burkina Faso
Oct 29, 2019 03:22Maafisa wa serikali ya Burkina Faso wametangaza kuwa, watu 16 wameuawa katika kile kinachosadikika kuwa ni shambulizi la kigaidi kaskazini mwa nchi.
-
Shambulizi dhidi ya msikiti laua watu 15 Burkina Faso
Oct 13, 2019 04:28Kwa akali watu 15 wameuawa baada ya watu waliobeba silaha kushambulia msikiti mmoja kaskazini mwa Burkina Faso.
-
Vinara wa jaribio la mapinduzi Burkina Faso wahukumiwa kifungo cha miaka 20 jela
Sep 02, 2019 22:37Waitifaki wawili wakubwa wa rais aliyeondolewa madarakani nchini Burkina Faso, Blaise Compaore, wamehukumiwa vifungo vya hadi miaka 20 jela kwa kupatikana na hatia ya kupanga mapinduzi ya mwaka 2015 dhidi ya serikali ya mpito nchini humo.
-
Watu 60 wauawa katika mapigano ya kikabila nchini Burkina Faso
Apr 04, 2019 03:25Watu wasiopungua 60 wameuawa katika mapigano ya kikabila kaskazini mwa Burkina Faso.
-
HRW: Jeshi la Burkina Faso limewaua watuhumiwa mbele ya familia zao
Feb 06, 2019 11:55Mashiriki ya kimataifa ya kutetea haki za binadamu yamelituhumu jeshi la serikali ya Burkina Faso kuwa limewaua kinyama watuhumiwa wa vitendo vya kigaidi tena mbele ya watu wa familia zao.
-
Jeshi la Burkina Faso lathibitisha kuua magaidi 146 kusini mwa nchi
Feb 05, 2019 12:21Jeshi la Burkina Faso limethibitisha kuwa limeua makumi ya wanachama wa magenge ya kigaidi katika operesheni tatu za kulipiza kisasi, kusini magharibi mwa nchi.
-
Hali ya hatari yarefushwa kaskazini mwa Burkina Faso baada ya watu kadhaa kuuawa
Jan 12, 2019 04:01Bunge la Burkina Faso limerefusha muda wa hali ya hatari kwa muda wa miezi sita zaidi katika mikoa ya kaskazini mwa nchi, baada ya watu kadhaa kuuawa.
-
UN yalaani ghasia zilizopelekea raia 40 kuuawa Burkina Faso
Jan 06, 2019 09:47Zaidi ya raia 40 wameripotiwa kuuawa wiki hii wakati wa mapigano ya kikabila kaskazini mwa Burkina Faso hali ambayo imesababisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kutoa taarifa kulaani ghasia hizo.
-
Askari polisi 10 waviziwa na kuuawa kaskazini mwa Burkina Faso
Dec 28, 2018 12:27Maafisa 10 wa polisi ya Burkina Faso wameuawa katika hujuma dhidi yao katika eneo la Toeni, kaskazini magharibi mwa nchi karibu na mpaka wa Mali.