Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Burundi

  • UN: Wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania wanarudi makwao kwa hiari, hawashurutishwi

    UN: Wakimbizi wa Burundi walioko Tanzania wanarudi makwao kwa hiari, hawashurutishwi

    Feb 27, 2026 06:57

    Afisa wa Uhusiano wa Nje wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR nchini Tanzania Bahia Egeh amesema, wakimbizi wa Burundi walioko nchini humo ambao wanarudi makwao, wanafanya hivyo kwa hiari wala hawashurutishwi.

  • UN yatoa wito wa msaada wa dharura kwa wakimbizi wa Burundi waliopo na wanaorudi nchini

    UN yatoa wito wa msaada wa dharura kwa wakimbizi wa Burundi waliopo na wanaorudi nchini

    Feb 25, 2026 06:58

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, (UNHCR) limetangaza kuwa, ufadhili endelevu na wa uhakika unahitajka ili kuendeleza ulinzi kwa wakimbizi na kusaidia urejeaji na ujumuishaji wa raia wanaorudi nchini Burundi, wakati huu ambapo kambi zinzowahifadhi zinakabiliwa na msongamano mkubwa na uhaba wa huduma muhimu.

  • Jumanne tarehe Mosi Julai, 2025

    Jumanne tarehe Mosi Julai, 2025

    Jul 01, 2025 02:31

    Leo ni Jumanne tarehe 05 Muharram 1447 Hijria sawa na Julai Mosi mwaka 2025.

  • WFP yapunguza mgao wa chakula katika oparesheni zake nchini Burundi

    WFP yapunguza mgao wa chakula katika oparesheni zake nchini Burundi

    Mar 26, 2025 02:40

    Ongezeko kubwa la wakimbizi wanaohitaji msaada limesababisha mashinikizo makubwa kwa oparesheni ya usambazaji misaada ya chakula ya Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa (WFP).

  • Amnesty: Rais wa Burundi anakanyaga haki za binadamu

    Amnesty: Rais wa Burundi anakanyaga haki za binadamu

    Aug 21, 2024 02:57

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema katika ripoti yake mpya kwamba, Burundi imeshuhudia vitendo vya ukiukaji wa haki za binadamu katika kipindi cha miaka minne ya utawala wa Rais wa nchi hiyo, Evariste Ndayishimiye.

  • Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda baada ya shambulio la waasi

    Burundi yafunga mpaka wake na Rwanda baada ya shambulio la waasi

    Jan 12, 2024 07:20

    Burundi imetangaza kuwa imefunga mpaka wake na Rwanda kuanzia jana Alkhamisi kwa muda usiojulikana.

  • Ripoti ya UN: Wanajeshi wa Burundi zaidi ya 1,000 watumwa kwa siri mashariki mwa Kongo

    Ripoti ya UN: Wanajeshi wa Burundi zaidi ya 1,000 watumwa kwa siri mashariki mwa Kongo

    Dec 31, 2023 07:43

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa ambayo haijachapishwa iliyonaswa na shirika la habari la Reuters inaeleza kuwa wanajeshi wa Burundi zaidi ya 1,000 wametumwa kwa siri mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo tangu mwezi Oktoba mwaka huu.

  • Rais wa Burundi ataka mabadharuli wapigwe mawe hadharani

    Rais wa Burundi ataka mabadharuli wapigwe mawe hadharani

    Dec 30, 2023 11:16

    Rais Evariste Ndayishimiye wa Burundi ametoa mwito wa kupigwa mawe hadharani watu wanaojihusisha na ushoga na uhusiano wa watu wenye jinsia moja.

  • Wahanga wa shambulio la waasi huko Gatumba, Burundi wazikwa

    Wahanga wa shambulio la waasi huko Gatumba, Burundi wazikwa

    Dec 27, 2023 03:35

    Wananchi wa Burundi jana Jumanne walijawa na majonzi na vilio wakati  watu 19 waliouawa katika shambulio la waasi wa RED- Tabara Ijumaa iliyopita huko Gatumba, wilaya ya Mutimbuzi, jimbo la Bujumbura, kwenye mpaka wa Burundi na Kongo walipozikwa.

  • Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi ahukumiwa kifungo cha maisha jela

    Waziri Mkuu wa zamani wa Burundi ahukumiwa kifungo cha maisha jela

    Dec 09, 2023 06:00

    Mahakama ya Juu ya Burundi imemhukumu waziri mkuu wa zamani Alain-Guillaume Bunyoni kifungo cha maisha jela baada ya kumpata na hatia ya makosa kadhaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS