-
Rwanda yaitaka Burundi iwashughulike wahalifu 6,000 wa mauaji ya kimbari
Jun 07, 2019 08:08Mwendesha mashtaka mkuu wa Rwanda Jean Mutangana ametoa wito kwa nchi jirani ya Burundi kushughulikia watu ambao amedai walihusika na mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 nchini Rwanda dhidi ya Watutsi.
-
Lugha tamu ya Kiswahili yazidi kung'ara nchini Burundi + Sauti
May 13, 2019 18:04Lugha ya Kiswahili inazidi kunawiri nchini Burundi hasa baada ya nchi hiyo kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambayo sehemu kubwa ya watu wake wanazungumza lugha hiyo. Mwandishi wetu Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
Wanamgambo kadhaa wa Rwanda wakamatwa nchini Burundi
May 01, 2019 07:53Serikali ya Burundi imetangaza habari ya kuwatia mbaroni wanamgambo saba wa Rwanda na kisha kuwakabidhi kwa serikali ya Kigali.
-
Ubakaji waongezeka Burundi, baadhi ya viongozi wa Kanisa watuhumiwa + Sauti
Apr 29, 2019 16:59Baadhi ya wachungaji na viongozi wa Kanisa wanatuhumiwa kujihusika na visa vya upakaji na unyanyasaji wa kijinsia vinavyozidi kuongozeka nchini Burundi licha ya kuweko juhudi kubwa za kupambana na unyanyasaji wa kingono na kijinsia nchini humo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.
-
SAUTI, Ufaransa ambayo ni mkandamizaji mkubwa wa vuguvugu la Vizibao vya Njano, yawawekea vikwazo maafisa wa polisi wa Burundi
Apr 22, 2019 16:23Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ya Capes+ na Pisc Burundi, yamesema kuwa viukwazo vilivyotangazwa na serikali ya Ufaransa dhidi ya maafisa kadhaa wa polisi nchini Burundi, vimedhihirisha chuki ya hali ya juu iliyonayo Paris kwa nchi hiyo.
-
Jeshi la Kongo DR laua wanamgambo 36 wa Burundi
Apr 12, 2019 15:10Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limetangaza habari ya kuua wanachama 36 wa magenge mawili ya wanamgambo wa Burundi wanaobeba silaha, mashariki mwa nchi.
-
BBC yapigwa marufuku nchini Burundi + Sauti
Mar 30, 2019 02:05Bodi ya Uandishi wa Habari nchini Burundi imevunja mkataba wake na Shirika la Utanganzaji la Ufalme wa Uingereza BBC, huku shirika la utangazaji la Marekani VOA nalo likiendelea kusimamishwa kwa muda. Burundi inayatuhumu mashirika hayo ya utangazaji kuwa yanakiuka sheria za uandishi nchini humo. Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
-
Wanafunzi waliochora picha ya kumdhihaki Rais wa Burundi washitakiwa
Mar 21, 2019 15:02Wanafunzi watatu wa kike wamefunguliwa mashitaka ya kumdhihaki Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, na huenda wakahukumiwa kifungo cha hadi miaka mitano jela.
-
Burundi yakosoa vikali ripoti ya haki za binadamu ya UN+SAUTI
Mar 14, 2019 15:56Serikali ya Burundi imekosoa vikali ripoti mpya iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, iliyobaini kuendelea kwa ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.
-
Burundi yafunga ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini humo + Sauti
Mar 06, 2019 02:39Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imefunga ofisi yake nchini Burundi kufuatia agizo la serikali ya Bujumbura la kufanya hivyo mara moja. Burundi imekuwa ikisuguana na ofisi hiyo ya Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2015 baada ya kuripuka mzozo wa kisiasa nchini humo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa...