Burundi yafunga ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini humo + Sauti
Mar 06, 2019 02:39 UTC
Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imefunga ofisi yake nchini Burundi kufuatia agizo la serikali ya Bujumbura la kufanya hivyo mara moja. Burundi imekuwa ikisuguana na ofisi hiyo ya Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2015 baada ya kuripuka mzozo wa kisiasa nchini humo. Maelezo zaidi yamo kwenye ripoti ya mwandishi wetu wa Bujumbura, Hamida Issa...
Tags