BBC yapigwa marufuku nchini Burundi + Sauti
Mar 29, 2019 21:35 UTC
Bodi ya Uandishi wa Habari nchini Burundi imevunja mkataba wake na Shirika la Utanganzaji la Ufalme wa Uingereza BBC, huku shirika la utangazaji la Marekani VOA nalo likiendelea kusimamishwa kwa muda. Burundi inayatuhumu mashirika hayo ya utangazaji kuwa yanakiuka sheria za uandishi nchini humo. Hamida Issa ametuandalia ripoti maalumu kuhusu habari hiyo...
Tags