-
Burundi yaitaka UN ifunge ofisi zake za haki za binadamu
Mar 05, 2019 14:25Burundi imeulazimu Umoja wa Mataifa ufunge ofisi zake za haki za binadamu nchini humo baada ya miaka 23 ya kuendesha shughuli zake katika nchi hiyo ya mashariki mwa Afrika.
-
Kagame: Hata kama Rwanda isingekuwepo, Burundi ingelikuwa na matatizo tu
Feb 21, 2019 15:37Rais Paul Kagame wa Rwanda amevunja kimya chake na kuzungumzia uhasama wa miaka kadhaa sasa kati ya nchi yake na Burundi, huku akisisitiza kuwa mvutano huo sio mkubwa kiasi ambacho serikali ya Bujumbura inataka uonekane.
-
Burundi inakataa kuondoa askari wake Somalia
Feb 20, 2019 08:10Marais wa Burundi na Somalia wameitisha kikao cha dharura cha nchi zenye askari katika Kikosi cha Umoja wa Afrika Somalia, AMISOM, kujadili agizo la kutaka askari 1,000 wa kulinda amani wa Burundi waondoke Somalia kabla ya mwisho wa mwezi huu wa Februari.
-
Mjumbe Wa UN: Hali ya Burundi inaboreka
Feb 20, 2019 07:53Mjumbe maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Burundi, Michel Kafando amesema hali ya kisiasa nchini humo imeanza kutia matumaini wakati huu ambapo taifa hilo linajiandaa kufanya uchaguzi mkuu hapo mwakani.
-
SAUTI, Serikali ya China yaikabidhi Burundi jengo jipya la ikulu ya rais mjini Bujumbura
Feb 14, 2019 15:21Ikulu mpya ya rais wa Burundi ilojengwa kwa udhamini wa nchi ya China, leo imekabidhiwa rasmi kwa serikali ya Bujumbura.
-
Kujiuzulu Benjamin Mkapa katika upatanishi kwapokewa kwa hisia tofauti nchini Burundi + Sauti
Feb 11, 2019 17:11Wananchi wa Burundi wamekuwa na hisia na maoni tofauti kuhusu msimamo uliotangazwa na msuluhishi wa mzozo wa nchi hiyo rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa wa kuamua kujiuzulu wadhifa huo. Kwa maelezo zaidi tuitegee sikio ripoti ya mwandishi wetu wa mjini Bujumbura, Hamida Issa...
-
Benki ya ADB yaridhishwa na miradi yake Burundi + Sauti
Feb 07, 2019 17:51Ujumbe wa Benki ya Mandeleo ya Afrika ADB baada ya ziara yake ya wiki moja nchini Burundi umesema kuwa umeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyodhaminiwa na benki hiyo nchini humo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...
-
Mgogoro wa Burundi umeshindikana? Mkapa alia na EAC kumtelekeza
Feb 07, 2019 14:43Wachunguzi wa mambo wanasema kuwa kuna kila dalili za kuonesha kuwa mgogoro wa Burundi umeshindikana kutatuliwa.
-
Kikao cha Burundi chahimiza kupunguzwa athari za majanga ya kimaumbile + Sauti
Jan 29, 2019 02:34Wajumbe wanaoshiriki katika kikao cha nchi za Afrika ya Kati cha Bujumbura Burundi wamehimiza kuchukuliwa hatua za kukabiliana na athari za majanga ya kimaumbile na ugonjwa hatari wa Ebola uliopinga kambi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura...
-
Burundi: Kuna njama za kuvuruga uhusiano wetu na Tanzania + Sauti
Jan 21, 2019 18:21Mashirika ya Capes na Pisc ya nchini Burundi yamesema kuwa, kugunduliwa sare za jeshi la Tanzania katika kambi ya wakimbizi huko Burundi kunadhihirisha kuwepo njama za kutaka kuvuruga uhusiano mzuri uliopo kati ya nchi hizo mbili. Hamida Issa na maelezo zaidi kutoka Bujumbura.